Recent content by Comex

  1. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Kwa jinsi nimevyoelewa watu wanapiga wake za watu. Kwa hiyo unaweza kuta unalea mtoto wa jirani na jirani analea mtoto wako. Anyway hiyo ngoma ni droo
  2. Comex

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Kwhyo mke kachoma ramani
  3. Comex

    JamiiForums Tanzania Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma

    Kubakwa abakwe mwingine fidia ya piki piki ichukue serikali jamn
  4. Comex

    JamiiForums Tanzania Tatizo la saratani ya ini

    Hepatitis B(Homa ya Ini) ni Ugonjwa wa ngono inatakiwa mtu upate chanjo mara mbili kabla ya kuupata ndo hautaupata Teena.... Chanjo yake niliambiwa ni 30k Moja ya hospital za hapa mjin dar
  5. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti nisipompa hela ya mboga, Kama vipi tuachane

    Mama j once again...
  6. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya maneno yamenichoma sana na kujiona sina thamani katika hii Dunia

    Ulifeli kumrembea huyo alitaka Muwa ungempatia angekuheshim. Ila nahis amekaa nawe anaona humuombi chochote anaona kama kaka yake tu
  7. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni real story imenikuta leo hii sasa hisia zitaushinda mwili, maamuzi yatakua magumu mno

    Huyo ni hasira tu Yan dem mpka anakushirikisha kumpa jina mtoto afu ety hatak umuone.... Hahahahahahahaha ACHA nicheke kwanza kuwa mpole huyo atarud tu mwenyewe kwny mstari
  8. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Single mother aolewe na single father hapo Ngoma bila bila
  9. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Muwe mnaangalia na watu wa kuwaoa
  10. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepatwa na msiba, kwa atakayetaka kuja kuomboleza nami karibu

    Pole Sana mkuu
  11. Comex

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Mathematics naomba msaada wa hili swali

    Mkuu hv SOTOCA/HAH hukusoma ukaielewa!?.... Hilo swali ni rahis kuliko neno lenyewe
  12. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafsi inanisuta Bibi wa Watu anasingiziwa uchawi kisa mimi

    Utupe mrejesho sasa
  13. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu kuhusu huyu binti aliyepewa ujauzito akiwa kwangu

    Ila si binti yupo Kwa huyo mwanaume Kwa Sasa!??...
  14. Comex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu kuhusu huyu binti aliyepewa ujauzito akiwa kwangu

    Putin[emoji1787][emoji1]
Back
Top Bottom