Recent content by Com nyakipambo

  1. C

    Nawezaje kwenda JKT

    Wako after money sana kama huna ndugu yoyote uko juu ujue lazima uhonge bila ya hivo nafasi hupati
  2. C

    Kwa mnaokuja Mgambo JKT, mambo ni shwari!

    mkuu n mwez 9, hizo za mwezi wa saba umepata wapi
  3. C

    Kwa mnaokuja Mgambo JKT, mambo ni shwari!

    hizo hizo nafasi za watu wa kujitolea hadi mwezi 9
  4. C

    Nawezaje kwenda JKT

    Bado wanachukua chinichin ingawa kuna watu walishapangiwa kambi,, wame extend mda wa kuripoti hadi mwez wa 9 kwa wale wa kujitolea so anaweze akafuatilia na akapata ila awe na 1M mkonon
  5. C

    Kwa mnaokuja Mgambo JKT, mambo ni shwari!

    wengine wameshapangiwa kambi ila kuripoti ni had mwezi 9 au 10
  6. C

    Team Kanembwa tukutane hapa

    Nimeskia wakujitolea wameshapangiwa kambi ila tetesi kujoin ni mwez wa 9 au 10, mwenye ukwel juu ya hilo atujuze
  7. C

    Tuliopangiwa JKT Ruvu pakoje

    Naskia wale wakujitolea wameshapangiwa kambi ila kwa tetesi kujoin ni mbaka mwezi 9 au 10, mwenye ukweli kuhusu hilo atujuze
  8. C

    Cleaning services, Stationary and Office Supplies

    n kaz au Tangazo? mbona hatukusomi
  9. C

    Wafanyakazi wa kuuza maduka ya M-pesa wanahitajika

    watu wamepiga interview leo, ila wasubiri labda bado wanahitaj
  10. C

    Wafanyakazi wa kuuza maduka ya M-pesa wanahitajika

    ingekuwa vizuri umuulize muhusika coz amekuachia namba
  11. C

    Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

    kwa hiyo w ndo uliyemuita kiESCROW ESCROW
Back
Top Bottom