Recent content by Colonel steel

  1. Colonel steel

    Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    kama ushuzi ni kama kupiga miyayo, kauachie kwenye interview alafu uje uniambie..!!!
  2. Colonel steel

    Guys mnaoacha girls wenu kimya kimya

    Wengine huwa washakusoma na wakagundua kuwa wewe ni kicheche, sasa anaamua kukuacha uende zako kwa sababu yeye hakuwezi, au unaonekana ku-demand vitu vya ela nyingi alafu mjamaa hana cha kukupa.
  3. Colonel steel

    Kwa mwendo huuu.... Wanawake wengi mtajikuta 35yr's... Bado mko searching...?!

    kula ni jambo la kawaida lakini kama ana uwezo wa kula kilo moja ya mbuzi katoliki anaweza akawa na minyoo!! kwa hiyo ungemtafutia dawa tu!!
  4. Colonel steel

    Kwa mwendo huuu.... Wanawake wengi mtajikuta 35yr's... Bado mko searching...?!

    hayo sio ya kawaida KUFIKIRIA CLUB,DIAMOND,LINA badala ya maisha yenu ni upunyenye!! kuoa mwanamke wa dizaini hii ni afadhali kubakia kapera .
  5. Colonel steel

    Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

    hizi imani nyingine ni vigumu kuziamini
  6. Colonel steel

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    watunga sera wanashindwa kuelewa, elimu sio majengo!! elimu ni walimu bora wenye hamasa ya kufanya kazi, warekebishe hili, tatizo kubwa la elimu litakuwa limekwisha.
  7. Colonel steel

    Vitu 10 Mwanamke anavyovipenda na ni kero kwa Mwanaume...

    sijui kuna kipindi huwa wanachanganyikiwa!!
  8. Colonel steel

    Huyu bwana harusi pozi lake mnalionaje?

    kwani heaven on earth, huyo bwana harusi wewe unaona ana tatizo gani?
  9. Colonel steel

    Huyu bwana harusi pozi lake mnalionaje?

    Na wewe ukiwa ukishaolewa weka picha ya huyo mwanaume tuitolee comments.
  10. Colonel steel

    Ndoa yangu ipo mashakani nisaidieni

    kabla haujaolewa ulifanyiwa kitchen party??
  11. Colonel steel

    Kwanini vijana wa siku hizi wanapenda mahusiano na watu waliowazidi sana Umri?

    Lara1, ninavyosoma hizo post zako inaonesha kwamba unajiona ni expert mkubwa katika 6x6, na kwa vile umeanza kuwasema wanaume wa JF, kuna uwezekano hata mwanaume atakaye kuoa na mwenyewe pia utamkosoa utakuja kumwabia "baby chomeka hivi, alafu move.. move baby...! up.. down..up...down"
  12. Colonel steel

    Mtoto wa kiume kama huna pesa na elimu wanawake classic/ wazuri wote utaishia kuwaita mashemeji...

    Wanawake fikirieni hili, kukubali kuolewa na mtu ambaye ana pesa nyingi lakini haukumpenda hata kidogo, kuna wakati mwingine huwa inatokea!!hiki kitendo mimi kinanisikitisha kwa sababu ijapokuwa watoto wa mjini wanasema pesa ni kila kitu lakini ni ukweli kwamba pesa haiwezi ikatatua kila...
  13. Colonel steel

    Oprah Content on being 'a never married woman'

    Ijapokuwa ndoa nyingi zimekuwa majanga, lakini zipo ambazo ni very fine!! hivyo hakuna sababu ya kuogopa vitu ambavyo binadamu wenzio wameweza.
  14. Colonel steel

    Uhaba wa waoaji wanawake single elfu nane waandamana nigeria

    wanawake wa nigeria wanaume kwao ni kama CRDB,NBC,NMB,BARCLAYS,
  15. Colonel steel

    Dada wa kazi

    umeandika kuwa beki tatu anatoa heshima nzuri sana !! sasa wewe ulitaka akudharau?
Back
Top Bottom