Recent content by Colonel McCoy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Bado iko juu kuliko Airtel Kenya kwa same router na pia router ni free mtu analipia subscription tu ya mwezi. 40mbps ni Ksh 4999 roughly kama Tsh 99,000 ushindani kule mkubwa sana kuna kampuni nyingi sana za fiber. Kuna kampuni hadi zinatoa plan za siku kama 5mbps, 8 mbps, na unlimited...
  2. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Bado hujatimiza hivyo vitu 3 walivyokuomba ufanye ndio maana bado una 0 followers Ondoa profile picture. Bio uedit Na profile ya bio
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nyakati zimeenda sana, nikikumbuka vipindi/nyimbo hizi za muziki najiona kabisa siku zimeenda sana, mambo hayako tena vile

    Bila shaka kuna wenzangu tutakumbuka zile jioni nzuri nzuri zama za Voice of Kenya kabla haijawa KBC kupitia vioja mahakamani https://youtu.be/1KpEFpziEZA?si=99dHDV6IwxS1XF4y
  4. C

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Survey wanachelewa kufanya sana na zile story za kuishiwa vifaa . Ombi liko pending mwezi wa 6 sasa I had to opt otherwise.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kampuni gani wanatoa huduma ya fiber kwa uhakika Morogoro? Msaada tafadhali.
  6. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Wamekufungia sababu ya impersonation[kujifanya mtu fulani ambaye anatambulika kumbe sio wewe] ambayo ndio hiyo brand iliyotambulika [verified] kwa kesi yako ni wanadai wewe ulisema ni mwakilishi wa hiyo brand Ili uepuke hiyo ungesign account yako kama Parody/Commentary waliiweka hii option...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

    Upo sawa kabisa Dubai ina mchanganyiko wa mataifa , hata kuna moja ya Supermarket moja nilitembelea January wanauza pork hicho chumba kimeandikwa "Non-Muslims Only" hivyo hadi umeingia humo maana yake umeenda kwa hiyari yako. Na nilikuta wana variety nyingi sana ya pork hata vitu ambavyo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa

    Mimi nimeuliza tu amehama tayari au la!?
  9. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

    Yule ni mwanajeshi mstaafu pia pengine sababu ya umri kapumzika kuchangia humu, ni miongoni mwa wanajeshi waliopigana vita vya Uganda 1978- 1979.
  10. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

    Gone are the good days ID yangu ya zamani ilifyekwa ila majukwaa mengi yamepwaya baada ya wakongwe kujitoa kwa kuacha kuchangia kutokana na kundi rika jipya lenye utamaduni wa matusi na kebehi kuliko hoja hii inatokana na mfumo wa elimu wanaoutumia kwa sasa.
  11. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Je Unaikumbuka Jambo Forums? Ulikuwa Wapi enzi hizo?

    Halafu mzee Masanilo niliwahi kuambiwa ni PhD holder kabisa hahaha..
Back
Top Bottom