Recent content by collinswilliam63

  1. collinswilliam63

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Nahisi tatizo ni wewe kua unapenda usipopendwa
  2. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Boss hiko chakula cha kuku cha waching wanauza wapi
  3. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

    Mwenye kujua ubora wa godoro tajwa hapo juu naomba aniambie mana na nikitaka kujua hili ni lenyewe au feki nagunduaje?
  4. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Usafiri 5000/= per day kutoka kwako mpaka kazini kwako na kukurudisha

    Wadau hii huduma bado ipo?
  5. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

    Wazo pekee mtafute Polisi mlengeshe kwa Jamaa hata apate mushkeli kwa wa ndani kwa masaaa 3 then muandikishane kua unaichukua simu kwa muda till akimalizia helake then unamrudishia mbele ya Kamanda huku anakua ashapata mabanzi ya kutosha. Si vizuri kukopesha marafiki, ni vizuri kusadiana kwa...
  6. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

    Kivipi Mkuu, tuambie tujifunze
  7. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kasi ya Rais Samia ni kama Mayele

    Tuliambiwa SGR ya Dar to Dom itakua tayari around Disemba 2022 ila mpaka sasa hamna chochote, tunahitaji majibu kuhusiana na hili jambo mana uwepo wake ni msaada tosha kwa wanaosafiri kutoka Dar kwenda Kahama, Mwanza, Kigoma au Bukoba.
  8. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Usafiri Kahama kwenda Mbeya

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Kahama kwenda Mbeya na gharama zake Ahsante
  9. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vitambaa vya sofa

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
  10. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Alzeti

    Mungu akubariki Mkuu
  11. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Aluminium kwa bei nzuri

    Mkuu ni mbele ya NHIF ya zamani?
  12. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Aluminium kwa bei nzuri

    Nahitaji msaada wa kufahamishwa sehemu wanapouza vifaa vya kutengenezea madirisha ya Aluminium kwa bei rafiki
  13. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Gawio limeamuliwa ni sh ngapi toka kwenye kikao?
  14. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya familia ya Marehemu Fanuel Sedekia

    Habari, Mwenye mawasiliano na familia ya Marehemu Fanuel Sedekia naomba anisaidie. Ahsante
  15. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kutengeneza soseji

    Mwenye kujua
Back
Top Bottom