Mkuu, hapa hatuongelei kubinafsishwa, hapa tunaongelea tanesco ipunguziwe majukumu. Hii inaendana na tanesco isiwe monopoly kwenye nishati ya umeme pekee.
Je, unafahamu haya?
1) mpaka sasa Tanesco inaogharimu nchi kiasi gani? Serikali inakopa hela world bank, ADB, European Union kuifadhili...