Recent content by cold water

  1. cold water

    JamiiForums Tanzania Harmful nimeshindwa kuku dm

    ......
  2. cold water

    JamiiForums Tanzania Nawatafuta sana ndugu zangu

    Naomba mawasiliano ya watajwa hapo kwenye majina yaliyoorodheshwa,wanatokea mkoa wa Ruvuma Songea....mimi ni rafiki yao lakini kama ndugu yao pia... vijiji ndio ivyo tajwa ,kama kuna ndugu yako hapa naomba mawasiliano tafadhari sana,na kama utahitaji kujua kwanini nawatafuta naomba tuwasiliane...
  3. cold water

    JamiiForums Tanzania Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

    Muongo mi Nina miaka iyo na Nina mtoto na Nina upendo
  4. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mmmh
  5. cold water

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya uchaguzi wa Mchumba

    Yani mama mtoto wako anakupa ushauri nani umuoe jitafakari Sana kwenye ili
  6. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Distance ndo inayonipa mawazo je yatadumu ? Ilo tu
  7. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Alinambia nishike mimba yeye ndo aliomba kwenye mimba Hana shida Nina hofu na anakoenda japo kapangiwa kijijini Naomba ni dm Kwa ushauri zaidi
  8. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka
  9. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nurse
  10. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mimi ni mwanamke lakini nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea kwa sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake Hofu yangu ni mahusiano kuvunjika Ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida, nawaza atanisahau akienda huko...
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Naomba ni dm plz
  12. cold water

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Yes naomba nikucheki dm kama hutojali Thanks for your replying🙏🙏
  13. cold water

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa kikundi,msaada tafadhali na wakikopa Mwanachama akirudisha hela itakayorudishwa pamoja na riba vitaonekana...
  14. cold water

    JamiiForums Tanzania Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

    Kuna budget nime upload inagoma ungeiona ungetoa ushauri shida mtandao uko chini
  15. cold water

    JamiiForums Tanzania Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

    Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo...
Back
Top Bottom