Recent content by Codie africana

  1. Codie africana

    Kikuu online marketing

    Shukran sana wadau kwa ushauri
  2. Codie africana

    Kikuu online marketing

    Kumbe sometimes wanazngua
  3. Codie africana

    Kikuu online marketing

    Dah ahsante kwa kunielewesha mkuu
  4. Codie africana

    Kikuu online marketing

    Wakuu samahani nahitaji kununua hii bidhaa online marketing ambayo ni kikuuu ila nna wasiwasi sasa naweza nikapata hii simu yenyew au ntakua nmepigwa
  5. Codie africana

    Historia ya kusisimua kuhusu Peter Tosh na kifo chake

    Hahaaaa natumia sanaaa mmea uliobarikiwa
  6. Codie africana

    Fahamu kuhusu muigizaji N!xau maarufu kama Bushman

    HISTORIA: MFAHAMU "BUSHMAN" MCHEZA FILAMU MAARUFU ZAIDI KUWAHI KUTOKEA BARANI AFRIKA. Jina lake halisi anaitwa Nixau. Inakadiriwa alizaliwa kati ya mwaka 1943 au 1944, kwani yeye binafsi hakuwa akijua umri wake. Alikuwa ni mzaliwa wa nchini Namibia kijiji cha Tsumkwe katika Jangwa la Kalahari...
  7. Codie africana

    Historia ya kusisimua kuhusu Peter Tosh na kifo chake

    PETER TOSH, ALIKUWA MTU WA KUUAWA TU(a man who must be killed), KWA SABABU ALIKUWA MTU NA NUSU, HAKUWA MTU WA KAWAIDA Bunny Wailer amnyooshea kidole mjane wa Bob Marley, Rita Marley. Ulikuwa ni usiku wa joto jingi katika mji wa Kingston nchini Jamaica. Usiku ambao haukukomaa saana tangu jua...
  8. Codie africana

    Tupia jina la wimbo bora kwako!

    Faded away _ by allan walker
Back
Top Bottom