Vipi kuhusu egypt,algeria,tunisia,comoro,moroco,qatar omar etc izo nchi ulizozitaja zinaasiliwa na rangi zao zamwili kama ilivyo nigeria,angola,congo,cammeroon nawengine wenye rangi kama yangozi yako
ivi kwa yaliyotokea IRAQ,AFGHANISTAN,SYRIA NA LIBYA kwa taifa la marekani kuuwa maelfu ya watu nakinachoendelea GAZA kwa ISRAEL kuua maelfu ya watu, watoto wafanyakazi wa Umoja wa Kimataifa na Madaktari halafu dunia ipo kimya mpaka south afrika ikaja fungua kesi.lakini URUSI ilipovamia UKRAINE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.