Umejiona sasa ulivyo punguani wewe hata siku moja vitz haiwez kuwa sawa na evogue utalalamika tu inakunywa sana mafuta na ndivyo zilivyo kwa simu pia haziwez kuwa sawa hata kimatumizi
Sio kwa iphon labda samsung iphone ya 2019 bado inapata ios update tena mwaka huu na mwakani endelea kujipa moyo na hizo tecno zako
NB iphone inapata ios update kwa miaka 6
Kuna demu mmoja aliwah kununua iphone 11 alinunua ikiwa na battery health ya 100 ndani ya wiki tatu ikashsha had kufika 84 yani ilikuwa haikai chaji kabisa akaja ofisin pale kuniuliz juu ya hilo tatiz nikamuuliz amenunua wapi hiy sim akaniambia kuna jmaa mmoja anamwamini sana anauza sim...
Ww umefafanua vzr kabisa hii pixel yangu ninautumia bil wasws na niko mbion kwenda kweny kweny p7 maan utamu umenikolea yani numetumia sim nying kampun nying ila pixel kwakwel ni adicted wana vioo vizur sana na iko simple mnoo nimeona kuna mdau anasem pixel 3xl ni ya kipuuzi at the same time...
Maoni ya busara kwa leo.
Uzi mfupi
• Kama wewe ni Fan/shabiki wa kitu au kampuni flani, unatakiwa ujue kuheshimu mawazo ya watu wengine, unatakiwa ujue kutofautisha kizuri na kibaya, unatakiwa ujue kutofautisha Facts/ukweli na Opinions/maoni.
Acha kuhoji na kubeza maamuzi ya watu, ingawa...
Ndo nilikuwa namuambia huyo mdau hapo hiz 3 series ziko vzur sanaaa na ndio nimeanz kutumia ila kweny 4 series ni 4XL na 4a 5g ziko poa sana ukija 5 kwenda juu huko ndo burudan mno
Mtu hawezi kutumia iphone xs max yake ilikuwa kimeo haikai chaji akahamia brand ingine akaanza kutukan iphone zote kuwa sio nzuri
Au umetumia samsung s4 au s6 edge unaanza kusem samsung kuwa hazikai chaji [emoji2]
Vivyo hivyo kwa pixels
Wewe umesem umetok pixel kwend infiniksi sabb ya chaji nikakuuliz 4 varients za pixel ziko nne yani 4 plain 4xl 4a na 4a 5g(hii ilitokan baadae kipind pixel 5)ulitumia zote je ukuona utofaut kabisa au kutokujua nikja kuuliz kweny 3 series ziko 4 yani 3 plain 3xl 3a 3aXL(hii inakaa chaji kulik...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.