Recent content by Codak

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Anaongea bila kufikiri huyo ,anaweza akavaa tu mtu t-shirt kama y bakabaka yuko kweny Gari akasimamishwa n traffic asisimame, hapa mtakuja kusema mjeda kakataa kusimama.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Wewe umesoma wapi walipokuambia Mwanajeshi haruhusiwi kukukamata na kukufikisha kituo ch police?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Fikiria tena ndo ujibu ,unaongea bila kufikiria, hata kibaka anaweza iba kavaa nguo ambazo zinafanana na za jeshi ila ww kwa kumuona kwa mbali utasema moja kw moja ni mjeda , Tafsiri yake nn watu watakua wanasema ni wanajeshi wanaofanya matukio hayo y ajabu ajabu. Ishu no Jeshi kupakwa matope...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Serikali mnusuruni Mandonga

    Bondia gani ndani y mwaka 1 unapigana mapambano zaidi y 10 ,Ngumi hizi hiziii 😅😅😅 Wacha afe.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Ww usiwe na wasiwasi Mahalia waga hawamslizi ukimaliza Mahalia ni dharau ,Peleka nusu ,yaan 2M ,Oa hiyo iliyobak muwaambie mtamaliziaga. Pesa haisuswi ,babamkwe ataipokea tuu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

    Yesu sio nabii nenda kasome Yohana 14 yoteee ,anasema Yesu mwenyewe yy ni nani unless otherwise huamini ktk Biblia, Ila kama una amini ktk Biblia basi pasi nashaka Yesu ni Mungu ,yaani Mungu Mwana.
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Usituseme,ili kuepusha Hilo na ww usizae Kabla ya ndoa ,simple as dat.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?

    W Wewe ndo unaona Hitler anazungumzwa kwa Legacy mbaya ila si Wajerumani go & read again bila Hitler may be Ujeruman isingekuepo hapo ilipo
Back
Top Bottom