Recent content by cocktail

  1. cocktail

    Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

    Nenda hospital utapata majibu chanzo cha ugonjwa na tiba,ila kwa huduma ya kwanza nunua medioral duka lolote la dawa sukutua nayo,maelezo atakupa muuza dawa.pole upone haraka
  2. cocktail

    Ipi ni njia nzuri ya kutunza carrots na hoho nyumbani ili zisiharibike

    A simple way and cheap chukua gazet au bahasha za kaki,fungia karoti zako then weka kwenye mfuko wa magufuli,weka kwenye friji,hata mwezi zinakaa mpaka utakuta zinataka kuota haziozi ,ila hoho ni changamoto kidogo nazo fanya hivyo hivyo
  3. cocktail

    Hakuna ndoa iliyokamilika, endelea kunung'unika utakufa mapema

    Huu ni mtihan kwa waliowengi,sijui wa Nafikiria ha ni makusudi wananyimwa kumbe masikin nyuma vimekaza
  4. cocktail

    Watumishi tulio wengi tuna shindwa kulea watoto wetu na badala yake tuna watunza tu vizuri, madhara yake ni hatari

    Kuna jiran yangu mwanae wa kiume ana miaka 12 anaogeshwa,na kunyolewa sehemu za siri na house boy.mpaka najiuliza atakuwa kijana au baba wa aina gan
  5. cocktail

    Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Jaribu kumpa phamactin huwa inaleta hamu ya kula,pia jitahid kumkazania kunywa maziwa sana hata usiku mama aamke ampe maziwa angalau ni liege tosha
  6. cocktail

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Kwa nini usendeshe gari yako mwenyewe,deal za kuchukua wagen toka airport to any hotel ziko wazi na nying znz,pili kwa nini usipangishe nyumba yako.watu wengi wanaofanya kazi za ma hotl znz hupanga chumba kimoja kimoja. Shamba anza ukulima kuliko kuuza.hivyo vitu ulivyonavyo ni asset nzuri...
  7. cocktail

    Damu 4.2 Baada ya kujifungua siku ya 23

    Yaan huyo alitakiwa kuwa hospital saa hii akiongezewa damu,tena mama anaenyonyesha ni hatar,akiweza kuosha tembele na maji uvuguvugu asage kwenye blender anywe kadri awezavyo ndani ya wiki tu damu itaongezeka ila asiache dawa za hospital ni muhimu.
  8. cocktail

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Ni sawa but still kumcheulisha ni muhimu sana sana,yaan akimaliza kunyonya tu anamuweka began anacheua,
  9. cocktail

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Jitahid kumbeba began yaan mkumbatie kichwa chake kilale juu ya kufua ili apumue kutoa ges,na ukimlaza kitandan mlaze kwa tumbo,gesi inamsumbua ndo maana anashindwa kulala na kunyonya vizur,kila akimaliza kunyonya acheulishwe ndo alale
  10. cocktail

    Baada ya kujifungua mapigo ya moyo yapo zaid ya 100

    Nilitumia dawa za presha na aspirin junior,tangu wiki ya 12,na nilipofikisha wiki 30nilichomwa sindano za dexamethasone,sikupona ilazilinisaidia kusogeza siku mpaka wiki 37mtoto akatolewa,nikaendelea na dawa hadi 49dayys,prsha ikawa stable nikaacha,case hii inahitaji a serious gynecologist...
  11. cocktail

    Baada ya kujifungua mapigo ya moyo yapo zaid ya 100

    Kawida presha humpata mjanzito kabla au baada ya kujifungua,na hii husababisha pre eclampsia,hivyo walipompa dawa alitakiwa kumeza mpaka siku 40,au hadi pale daktari atakapo ridhia presha imekaa sawa,huku kutokufata mashart ni kubaya atapotea ukimuangali,na presha mbaya ni ile baada ya...
  12. cocktail

    Watoto kuzaliwa wakiwa na jicho moja kubwa na lingine liko kawaida.

    Genetics,kwa ushaur zaidi tembelea hizo hospital nilizokwambia wao wanajua zaidi,na km ndo yenyewe wanajua namna ya kuitibu na akaishi,Ila atapata upofu jicho lilioathirika ndo maana tiba ya mapema ni Nzuri zaid,au labda ni kitu kingine,hospital wanajua zaid,nenda
  13. cocktail

    Watoto kuzaliwa wakiwa na jicho moja kubwa na lingine liko kawaida.

    Kuna cancer ya macho ambayo huwapata watoto wakiwa tumboni na ni ngumu kutambua hata akizaliwa miezi ya mwanzo pia huwez jua,mpaka vipimo labda ndo hiyo jaribu vipimo Mhimbili au kcmc,
  14. cocktail

    Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Huu ushauri ufate,mara nyingi tonsil husababisha kikohoz km unachokiongelea especially usiku
  15. cocktail

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    hebu andika kiswahili fasaha tuelewe ni mzungu anaye nyumba au mzungu anae miliki nyumba?
Back
Top Bottom