Recent content by Cochabamba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

    Najua ukweli unauma lakini huo ndio ukweli, mpe pole kwa kuumwa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

    Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. 1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro Ukweli ni kuwa anakabiliwa na kesi mbaya sana ya hela hewa za usafi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

    Kwa kuwa umenitukana wakati tulishasali na kurudi majumbani, naanza kusali kukuombea japo uwe na busara kidogo tu hata ya kuishauri familia na rafiki zako.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

    Magufuli leo ni Jumapili yake ya kwanza kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amesali na waumini wenzake kwenye kanisa la St.Peter.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kwa kiwango hiki cha barabara ya G/mboto-Chanika, Hufai

    Naona huyu hazijui barabara zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi waziri wake akiwa Magufuli, hizi hapa: Mkeka wa Chunya - Lwanjilo Korogwe - Mkumbara
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naziona dalili za PINDA kuibuka Kidedea

    HUNIJUI Hivi wewe ni muongo au kuna nini kimekusukuma kusema hayo - kati ya Pinda na Magufuli yupi aliyeenda kimya kimya au Jaji Ramadhani, au yule Mkulima wa Kigoma???
  7. C

    JamiiForums Tanzania Updates: Mdahalo wa Wagombea Urais CCM - Julai 05, 2015 via Star TV

    Haya ndo matapeli ya siasa!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Updates: Mdahalo wa Wagombea Urais CCM - Julai 05, 2015 via Star TV

    Eti huyu Makamba atamaliza tatizo la msongamano kwa njia ya PPP kujenga reli zikiradiate kutoka ktikati ya jiji kukiwa na vituo vyenye real estate kama ilivyo ulaya na hao wawekezaji watapata mrejesho wao kupitia humo - nilicheka sana siku hiyo, pure theory! sidhani kama anaijui PPP vizuri au...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa mmoja wao anaenda kuwa rais wa JMT 2015

    Kwa hali ilivyo hata punguani anajua Lowassa havuki! kianchotakiwa ni kujiandaa kwa maumivu tu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa mmoja wao anaenda kuwa rais wa JMT 2015

    Huyu pekee ndo dawa ya UKAWA:
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Ndani Ya SCOAN Leo 28.12.14

    Hata Magufuli na familia yake walisali kwa TB Joshua na wakiristu waumini wa kanisa Katoliki.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

    Ngoja na mimi nikumegee, mambo yapo na huyu hapa:
Back
Top Bottom