Dah! Inauma sana JW wapo busy kulinda mipaka ili adui wa nje hasituue wakati adui yumo ndani anatuua sasa hiyo ina maana gani? JW kwa hili mtusaidie anaeuawa na anayeua nani ni mzalendo na ni nani kati ya hawa wawili ni adui wa nchi?
YANGA + SIMBA= UPUMBAVU WA WABONGO. Wahuni wekezeni sana kwenye boli mzidi KUWAPUMBAZA na kuongeza WAJINGA! Ichoteni nchi sana wao wakikaa kubishana boli. Kila siku weka waandishi wa habari machawa wa kuibua agenda na hoja mbalimbali kujadili ball la YANGA na SIMBA, Lissu, Polepole, Gwajima...
Mungu naomba umnusuru Lissu ainuke na alikomboe taifa dhidi ya majambazi, machawa na vibaraka zao. Ee Mungu naomba utende muujiza Majambazi, vibaraka zao na machawa wao waangamie na wasitoboe mwaka huu Amen.
Mimi nawaza hivi taasisi nyeti za serikali kuna watu wameziua kimaksudi kwa kuajiri watu kiundugu au kwa utashi wa kisiasa! Pia napata shaka mamlaka ya vetting hivi kweli nchi hii hatuna watu SMART na wazelendo kwelikweli?
Kwa sasa nahisi wahuni na watu janjajanja nyingi wanafanikiwa kupenya...
Halafu pia kuna watu wanapenda kusubiria kupanda vyombo vya usafiri vilivyojaa yaani watu wamesimama ili wawakumbatie wengine na hili mliangalie mana dunga dunga wanazidi kuongezeka kwa kasi hao wanaojiita kataa ndoa.
Mh. Waziri angalia na hawa ambao ni wateja wa baa wakiona wahudumu wa kike wa baa wao ni kuwashikashika bila lidhaa zao kwa nadharia kuwa kutokana na kazi zao pia watakuwa wanajiuza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.