Recent content by co fm

  1. co fm

    JamiiForums Tanzania TANZIA Munde Tambwe, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) afariki dunia

    Kumbe wa zaman
  2. co fm

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Vipi ukasukia mwanao wa kiume ana basha wake
  3. co fm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    Mkuu nikupeleke pale kitambaa cheupe ukajichukulie
  4. co fm

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    Ww unasema
  5. co fm

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    Inaweza nisiwe na changamoto now ila baadae inaweza kuleta shida
  6. co fm

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    miaka mitatu ndo standards?
  7. co fm

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    Ndio mkuu inawekana ni bahati tu
  8. co fm

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    Kuna vimiradi nimewekeza wekeza hapa pia nitafute mchongo mwingine
  9. co fm

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    Hello wadau, naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 33. Katika harakati za maisha niliotea bonge moja la mchongo wa kazi nzuri kutoka katika big 4 audit firms hapa bongo, kiukweli hii kazi ni nzuri na maslah ni mazuri ila pressure ya kudeliver ni kubwa sana na majukumu ni makubwa...
  10. co fm

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya jengo la China Plaza?

    Kwani jicho pori lina gharama sana hadi unaweza kupewa range?
  11. co fm

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Logic
  12. co fm

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Ndio maana nimekuja huku kupata mbili tatu kabla sijamshauri kuchukua huo mkopo
  13. co fm

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  14. co fm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa jamaa yangu kuhusu mtoto

    Mkuu si ni bora kufanya hivyo ila kuwa na uhakika, kama ni wake au lah
  15. co fm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa jamaa yangu kuhusu mtoto

    DNA utaratibu wake umekaaje na bei je?
Back
Top Bottom