Recent content by cmsuma

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu; Catherine Ruge atakuwa mwanasiasa mzuri kuzidi hao Covid-19

    Ndio kashapotea hivo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na genge lako hizi siasa zimepitwa na wakati

    Siasa za ccm tunazifahamu Sana. Mmeumiza watu wengi Sana sababu ya madaraja. Ipo siku Mungu atalipa kwa wakati wake
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma wabunge wa CCM, wengi hawaturudi 2025 Bungeni

    Waachie wafanye siasa kama ccm uone moto wake. Sisi serikalini huku tunawaogopa sana
  4. C

    JamiiForums Tanzania EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

    Imewekeza katika miradi gani?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde CHADEMA, wasameheni wabunge wenu 19 wa viti maalumu kwa maslahi ya chama na taifa

    Kama wahusika hawajawahi kuomba msamaha wao wataanzia wapi?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Chadema moto wa kuotea mbali, yaani wakiruhusiwa kufanya siasa hawa nchi itakuwa ngumu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini (Mb): Nimepigwa na kundi la vijana zaidi ya ishirini wa CCM wakiongozwa na Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile mbele ya polisi

    Naona utekelezaji unafanyika kwa ufanisi mkubwa[emoji122][emoji122]
  8. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Shoo: Mbowe alikuwa mbunge wangu na nimekuwa naye karibu sijawahi kuona tabia ya ugaidi kwake, nitashangaa sana!

    Ccm acheni oh chafua nchi yetu mbele ya jamii za kimataifa, yaani hata kipofu anajua. Kwanini msifanye siasa za kistaarbu kuliko kuumiza wengine. Assume kama ingekuwa kwenu mngejisikiaje? Hata baba wa taifa angekuwepo asingekubali hili
  9. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

    Polisi wanaharibu amani ya nchi hii kwa nguvu nyingi. Kuandamana kwa wananchi ni haki ya kikatiba, waaachwe waandamane na polisi watoe ulinzi
  10. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

    Sina hakika kama chadema pekee Yao ndio wanafanya uhalifu. Sijawahi kusikia ccm au vyama vingine vimekamatwa ukiachana na cdm
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Hata mtoto mchanga anajua[emoji23][emoji23]
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nadharia: Unahisi Mbowe alipanga kumuua kiongozi gani wa Serikali?

    Kwa sabaya me mwananchi na unga mkono na vyombo husika vimepata ushahidi wa kutosha, huyu sio binadamu wa kawaida
Back
Top Bottom