Recent content by cmnjama

  1. C

    Unapokuta sms kama hii kwenye simu ya mkeo unafanyaje?

    hizo ni sms za kawaida sana andaa akili kuziona sms kali zaidi ya hiyo, with social networks you cant avoid them kikubwa ni maturity ya mpokeaji ujumbe, imani yake na uaminifu wake katika ndoa thats all.
  2. C

    Mke wangu ananitesa kwa hili

    tatizo kubwa lililopo kwenye ndoa zetu ni mawasiliano duni kati ya wenza. nadhani kwanza dumisha mawasiliano kwa kuongea nae kirafiki zaidi ili aweze kufunguka then atakuambia tatizo nini au utagundua tatizo kutokana na mazungumzo yenu. unajua wakati mwingine wanaume tunajidanganya sana kwenye...
  3. C

    Zitto aitibua CHADEMA

    "umoja ni nguvu utengano ni udhaifu" kumsamehe zito ni jambo jema lakini ni vizuri kutafakari kwa kina kabla ya kuamua hilo.
Back
Top Bottom