Recent content by cmc nyumbani

  1. cmc nyumbani

    Tuwasaidie ACT; Kwa hili mmefanya kosa la kihistoria.

    Wataisoma no bado mtashangaa mbowe kupewa ubalozi
  2. cmc nyumbani

    Uteuzi wa Kitila: Zitto asema Rais ameamua kuunganisha nchi kwa kufanya kazi na watu wote

    Acha siasa kama una uwezo hata kama umejificha utaonekana tu so wacha magu afanye kazi zake na watu wenye uwezo mnaongea ongea nini ishakua sasa
  3. cmc nyumbani

    Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

    Fanyeni kazi wapuuzi wakubwa nyie.....mengine hayawahusu
  4. cmc nyumbani

    Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu

    hahahah kwa kweli umeyatoa moyoni ila mbona yupo poa tu huyu jamaa we ulitaka aweje mkuu
  5. cmc nyumbani

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    sio hivyo ila kwenye ukweli kaka unasema tu unaweka siasa pembeni tufike mahali tubadilike mzee
  6. cmc nyumbani

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    Jamani mbona siioni audio ya mbowe
  7. cmc nyumbani

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    mkuu mr presdent hakukosea kukuchagua una akili sana majibu yaliyo enda shule....salute jembe
  8. cmc nyumbani

    Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    kivipi kwani nani kasema kala hela muongee vitu mkiwa na ushahidi sio unaonge ongea mi mwenyewe simkubali sana ila hawezi kufanya mambo kama hayo
Back
Top Bottom