Simanzi yatawala CHADEMA, wakeleketwa hawajaamini kilichotokea wadondosha machozi kwenye keyboard

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Kama ilivyo kwa chama kinachoelekea kusambaratika majina aliyoyapeleka Mbowe kutoka mfukoni kwake hayakuweza kutia dafu mbele ya CCM iliyojipanga, wenye kila uzoefu wa kisiasa ambao pia hawatabiriki kwani katika kuwapata Makada wao 6 waliwapeleka Makada 12 tofauti na CHADEMA waliochaguliwa na Mbowe.

Funzo hili kwa CHADEMA chama amabacho kimekua kuishi kwa ulaghai sasa kinaonesha kukosa mwelekeo kwa CHADEMA.
 
Kiburi huleta MWANGUKO. Ukijifanya wewe ni MJUAJI sana mfano wa Tundu Lisu hayo ndo MATOKEO yake!
 
Tanzania bhana! ukipata nafasi ni kutulia ule tu mpaka kieleweke!
Nimegundua hawa wabunge ndio wanaenda kumtetea bashite badala kuhoji kwanini hachukuliwi hatua!

Tuna safari ndefu sana kuelekea kwenye maendelea kwasababu ya kutaka kukomoana!

Hata ukiwa mwalimu iba hata chaki tu kawauzie wenye steshenari au walimu wa twishen!
Kubaaaafu
 
Hizi siasa uchwara hazina tija kwa Taifa, hasa linapokuja suala la kimataifa.

Vyama havitatuvusha salama, bali weredi na uelewa mpana wa masuala ya kimataifa wa wawakilishi tunaowapeleka katika uwakilishi huo.

Kwa sababu, chama Fulani kupeleka wawakilishi wengi wasiokuwa na weredi inakuwa haina tija hiyo inakuwa ni aibu kwa Taifa na hasara hasa kwa wananchi.
 
Chama gai sasa kisichokuwa na wabunge wasio na ueledi. Ndio maana wanapitia kwenye mchakato na kuchaguliwa!isipokua chadema ambao wameleta waombaji kutoka mfukoni
 
Wakati mwingine shule au kujifanya unajua sana havisaidii jana Mbowe alikuwa anataka kujifanya na yeye ni bingwa wa sheria na kanuni sasa tunasubili arudi na majina mengine kutoka mifukoni haya wameyakataa

Sidhani kama angekuja na majina matatu ambapo mmoja akajitoa wakabaki wawili kungekuwa na tatizo
 
Nchi imekosa nafasi mbil za uwakilish sio chadema tu angalien mambo ya kitaifa
 
Back
Top Bottom