Recent content by cmases

  1. cmases

    JamiiForums Tanzania Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Sisi Jamhuri tulichoamua ni kumpotezea Muda Lissu na kujivua nguo Mbele za Wakwe zetu Wazungu!!
  2. cmases

    JamiiForums Tanzania Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

    Hongera kwa kuendelea na Ujenzi kiongozi
  3. cmases

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Jinsi Askari Polisi, akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi, walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Haitasaidia kwani wakitaka kufanya tukio haramu wanazizima hizo Camera
  4. cmases

    JamiiForums Tanzania Kuna kubwa la kujifunza hapa. Pumzika kwa Amani Aziza (Janet) Frisby

    Unamaanisha kwamba Huyo Dadaake hajui hao Marafiki Wote wa Aziza Wanapoishi?
  5. cmases

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa anaenda wapi?

    Kwani kawahi kufufua mtu?
  6. cmases

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

    Sure, Ngoja aje kupigwa na kitu kizito baada ya Muda mfupi. Atatoa Figo halafu ataachwa tena!!
  7. cmases

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

    Afie mikononi kwako kwani wewe Kaburi au Hospitali?
  8. cmases

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuacha mpenzi wangu kisa DP WORLD

    Umefanya Uamuzi wa Busara sana. Anayeshabikia na ukuutetea Mkataba DiPiWedi kuna mawili. Either HANA AKILI au KAHONGWA. Sasa kama Hana AKILI umuoe wa Nini!! Na kama KAHONGWA ndio balaa zaidi.
  9. cmases

    JamiiForums Tanzania Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Kuna Abdul Nondo inasemekana alijiteka. Polisi sio wa kuwaamini, kama hii kesi itafufuliwa huko Mahakamani ndio tutajua ukweli!!
  10. cmases

    JamiiForums Tanzania Suala la bandari lina harufu ya chuki

    Hizi Bandari za Zanzibar zikiwa Efficient kuna shida gani?
  11. cmases

    JamiiForums Tanzania Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    CAS hakwenda, na amshukuru Samia. Huyu dogo angekamuliwa Kinyesi!!
  12. cmases

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Habari Wana Yanga Wenzangu, kiufupi na Mimi ni Yanga Die Hard Sa hivi SAA Mbili Usiku wapo wanapiga Soga na Samia, wakitoka hapo wamechoka, wanaenda kuoga, wanaenda Airport hiyo lazima itakuwa at least SAA Sita usiku. Wanaruka na Ndege. Watafika wamechoka, kesho mechi na Mbeya City, Ijumaa na...
  13. cmases

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa Kumtoa Mtu kwenye Orodha ya wanufaika wa Bima ya Afya

    MUUE tu anafutika Automatically
  14. cmases

    JamiiForums Tanzania Basic math test that most people get wrong

    Huyu Mwamba katengeneza $20 fasta. Assune yuko na $100, akamnunua Mbuzi kwa $60, akamwuza kwa $70. Hapo katengeneza $10. So mshiko wake unakuwa $110. Akajizungusha, akatudi tena akamnunua kwa $80, kwenye ile $110 ikabaki $30. Akamwuza kwa $90. $90+$30= $120. Mwamba ameingiza $20 Chapchap.
Back
Top Bottom