Recent content by Clueless14

  1. Clueless14

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ina mpango gani kuondoa foleni ya barabara ya Mandela?

    Haina mpango wowote
  2. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Land Cruiser VX V8 ya mwaka 2007 iko sokoni

    Nope…niko industry hiyo hiyo ya magari jumatatu mpaka ijumaa saa 3 asubuhi mpaka 11 jioni, na najua nachoongea… Good luck though.
  3. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Land Cruiser VX V8 ya mwaka 2007 iko sokoni

    Sina haja ya kuuliza nipate kujibiwa uongo zaidi.. km kawaida ya watz. Mil 85 gari ya miaka 20 iliyoisha is ridiculous.
  4. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Land Cruiser VX V8 ya mwaka 2007 iko sokoni

    Gari ya 2007 mil 85?? Kha! Tz!
  5. Clueless14

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Trump anasema anaweza kuwapoteza wakatoliki na ana mafaili yao

    Wanawake wenyewe akina samia washatukatisha tamaa
  6. Clueless14

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

    Huyu baba angekaa kimya tu, kilaakifungua mdomo ni utumbo anaongea
  7. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Meanwhile ukiwa na chance ya kwenda huko marekani hutaiachia. . Msongo wa mawazo hata Tz upo..
  8. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Nahreel na Aika hawapati sapoti ya kutosha Bongo ili hali wako na sound ya tofauti kuzidi wasanii wengi wa kwenye A list

    Atlanta ipi unayoingelea? Ile yenye purukushani 24/7 au
  9. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

    Huyu shilole kesi zote za mahusiano yake ni yeye ana cheat
  10. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Nmepata kazi nyingine, mshahara mdogo. Nipeni ushauri jinsi ya kuadjust lifestyle

    Yani kama umeandikiwa uMaskini na akili inakuwa ya kimaskini kutupa! take home 1.3M unauliza uishije??
  11. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Sisi wenyewe tuko makini na sehemu tunazoolewa. Kuna watu ovyo hadi unashangaa wamekujaje duniani!
  12. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mpiga hela tu huyu hamna uchungaji wala uimbaji wa kumaanisha hapo.
  13. Clueless14

    JamiiForums Tanzania Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    Asikuzingue huyo, there is nothing wrong kwa wewe kuogesha wanao hata kama kila siku! Achana na hao matasa wa kiume wewe wanao utaona matunda yake uzeeni
Back
Top Bottom