Mkuu hakuna maridhiano ya kweli bila uwajibikaji.
Wewe utamsamehe mtu ambaye anasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo wakati anaendelea kukukosea na kukana makosa yake?
Wakuu, kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na stori moja ya ajabu sana…
Tunakumbuka wote jinsi kina Nyalandu, Kombo na Kabudi walivyokuwa wakisafiri duniani kujisafisha dhidi ya ile damu waliyonayo mkononi serikali batili. Lakini kumbe, kwenye kutapatapa kwake, Nyalandu amejikuta...
Huu mchezo unachezwa sana, hata sio wachina tu. Wageni wengi wako hapa nchini, wanafanya kazi kwa tourist permit. Kila baada ya miezi mitatu afisa "yao" ya uhamiaji hupeleka pasipoti airport kuweka mihuri mipya. Hela wanachukua dola 100, 50 ya cheti na 50 anakula afisa pamoja na mtandao wao..
Wadau, habari zenu.
Simaanishi kwamba biashara ya kuuza chenji ipigwe marufuku au wauzaji washughulikiwe. Hapana. Lakini ukweli ni kwamba, uwepo wa watu wanaofanya biashara ya kuuza noti ndogo na sarafu mtaani ni kiashiria tosha cha uhaba wa chenji kwenye mzunguko. Ni wazi kuwa wafanyabiashara...
Forces za uchumi na za soko.
Kupatikana kwa vyanzo vya gesi nchini kunapush maendeleo ya magari ya gesi kuliko ya umeme.
Ukute pia ni sera ya "mtandao". Kingmaker si kashika hisa nyingi za Songas...
Majibu sahihi ya raundi ya jana:
https://www.jamiiforums.com/threads/club-mates-geography-quiz-onesha-utaalamu-wako-mdau.2457734/
1. Ethiopia
2. Zimbabwe
3. Uhispania
4. Brasil
5. Tanzania
Hongera Al Watani kwa kuongoza leaderboard. Utaweza kutetea nafasi yako leo?
Day 2:
Karibuni tena wataalamu wa jiografia. Leo ni raundi ya pili ya Club Mate’s Geography Quiz.
Leaderboard:
1. Al Watani - 8pts
Taja nchi sahihi kwenye categories zinazofuata.
Kila jibu 1 sahihi (wa kwanza kucomment) = 1pts
Majibu 5 sahihi (wa kwanza kucomment) = 10pts
Panga jibu kwa...
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.
Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita...
Day 1
Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi kwa pamoja atapata points 10 kwenye leaderboard. Tumpate bingwa wa jiografia wa hapa JF.
Leaderboard...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.