Recent content by Cloud Computing

  1. Cloud Computing

    Waarabu watu wa kwanza Kusikia Injili, Imekuwaje tena siku hizi wameisaliti na kugeukia elimu mpya za kidini?

    Tatizo lako unaonekana unapenda sana kubisha bila kujua unabisha nini. Unaweka maelezo kibao bila kujua unataka ku prove kitu gani. Kwa hiyo hayo maelezo yako na hizo link wewe ulivyosoma na ujinga wako woote unaishia kuweka conclusion kwamba Simone mkirene alikuwa muarabu? Naomba unijibu, hawa...
  2. Cloud Computing

    Waarabu watu wa kwanza Kusikia Injili, Imekuwaje tena siku hizi wameisaliti na kugeukia elimu mpya za kidini?

    Hujaelewa vizuri andiko langu, kama ilivyo u - Afrika sio rangi, sio dini, sio taifa wala sio kabila. "Uarabu" ulienea sana Afrika ya Kaskazi mnamo karne ya saba na kuendelea. Uarabu sio dini, wala taifa n.k haiondoi ukweli kwamba eneo ilipo Libya na Misri hakukuwa na waarabu karne ya kwanza. Na...
  3. Cloud Computing

    Waarabu watu wa kwanza Kusikia Injili, Imekuwaje tena siku hizi wameisaliti na kugeukia elimu mpya za kidini?

    Kiongozi historia na ushahidi wa kisayansi Afrika yote ilikuwa inakaliwa na watu weusi hawakuwa waarabu. Huko Misri na Libya hakukuwa na waarabu, jifunze vizuri fanya tafiti. Watu wengi wanapenda kupotosha historia ya mtu mweusi ili kuhalalisha ushenzi wa kutufanya sisi hatuna lolote la...
  4. Cloud Computing

    Msaada wa kusafirisha Matunda USA

    Utahitaji vibali kibao ili uweze kufanikiwa gharama ambayo naamini itakuwa kubwa sana. Kiufupi kama hufanyi kwa ajili ya biashara sahau hiyo habari. Wanaogopa kupeleka magonjwa kwao kwa hiyo hadi wathibitishe hayo matunda ni salama utakuwa umeumia sana
  5. Cloud Computing

    TARURA Mbeya jiji barabara mnazosimamia ujenzi haziridhishi

    Ile barabara ni moja ya zile za Tanzania Strategic Cities Project (TSCP), nafikiri kiwango chake kitakuwa ni cha kuridhisha maana wataweka lami ngumu (Asphalt Concrete). Ingawa mkandarasi anasuasua sana na ile kazi, sina imani naye sana.
  6. Cloud Computing

    Mbeya-Mkoa unaolima kahawa lakini hawanywi kahawa

    Pole sana, hata hivyo uzi huu umeandika kishabiki na kinafiki saana. Kuna sehemu nyingi sana za kunywa kahawa ni vile tu hukupata mtu anayefahamu vizuri akuelekeze. Kwa faida yako na wengine, utapopata nafasi ya kwenda Mbeya basi nenda The Ridge cafe, Mbeya coffee shop, Hotel Desderia, Utengule...
  7. Cloud Computing

    TARURA Mbeya jiji barabara mnazosimamia ujenzi haziridhishi

    Nimepita kwenye mitaa na barabara kadhaa ndani ya jiji la mbeya na kuona ujenzi wa barabara ukiendelea. Hapa nazungumzia barabara za TARURA ukiacha zile za uendelezaji wa miji ya kimkakati (TSCP). Napenda kutoa rai kwa wakala wa barabara jijini Mbeya (TARURA), Mbeya ni jiji linalokuwa kwa...
  8. Cloud Computing

    Mjue Salum Sumry, kutoka kuachana na biashara ya mabasi hadi kuamua kujikita kwenye kilimo biashara

    Hapana, yale mabasi yalikuwa mabasi bora sana na ya kisasa mno hadi leo hii hapa nchini hamna mabasi ya usasa wa aina ile kuanzia engine hadi comfortability yake. Madereva na usimamizi mbovu ndio lilikuwa tatizo.
  9. Cloud Computing

    Tanga jiji la kishamba sana, nashindwa kuelewa kwanini mkoa huu ulipewa heshima ya kuitwa Jiji

    Mzee hapo umeteleza kidogo, Mbeya, Tanga na Arusha yalitangazwa kuwa ni majiji kwa wakati mmoja mwaka 2005. Lakini Arusha ikaonekana imepandishwa hadhi kimakosa hivyo ikanyang'anywa hadhi jiji mwaka huo huo, mwaka 2012 ndio ikapandishwa tena hadhi na kuwa jiji. Dar, Mwanza, Mbeya, Tanga na...
  10. Cloud Computing

    Mnakumbuka East African Airways?

    Acha urongo wewe, kafanye utafiti vizuri.
  11. Cloud Computing

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Mchawi humjua mchawi mwenzie, na vile wewe hata dini hujui ukienda kuroga wana Mbeya unapigwa na neno maskini hadi unahisi ni uchawi jinsi akili yako ilivyo fupi.:D:D:D
  12. Cloud Computing

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Kinachokukera nini kwenye hilo? Unataka wawe wazembe kama wewe?
  13. Cloud Computing

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Mji gani Tanzania hii hauna vumbi? Mbeya ndio mji pekee usiokuwa na mbavu za mbwa mjini. Wewe na akili yako fupi ukiona nyumba zimejengwa na tofali za udongo unaona ni mbavu za mbwa, unazijua mbavu za mbwa wewe? Wapi Mbeya mjini umewah ona nyumba imewekwa miti na kukandikwa udongo? Hakuna huo...
  14. Cloud Computing

    Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Kwa faida yako na wengine, uwanja wa ndege wa Songwe upo mkoani Mbeya na si mkoani Songwe. Uwanja huu ulijengwa ndani ya wilaya ya Mbeya ambayo ni sehemu ya mkoa wa Mbeya kabla na baada ya kugawanywa. Uwanja kuitwa Songwe haimaanishi upo ndani ya mkoa wa Songwe (Rejea; uwanja wa ndege wa...
  15. Cloud Computing

    Tazama mchoro wa stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Bukoba itakayojengwa muda si mrefu

    Ndiyo ni jiji, au we unaona ni wapi? Lile eneo lote ni la Chuo cha kilimo Uyole, na sio pori bali ni mashamba ya chuo.
Back
Top Bottom