Uchumi ulioimara ni kigezo kikuu kinachosukuma uwekezaji katika miradi ya miundombinu. Rwanda na Kenya zimeweza kuwekeza katika miundombinu bora si tu kwamba nchi zao ni ndogo, bali wanauchumi ulioimara.. Wakati mwingine idadi ya watu na ukubwa wa nchi huchangia maendeleo hapa namaanisha average...
Natumai mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji kufahamu bei na upatikanaji wa generator tajwa hapo juu likiwa ni la three phase na uwezo wa kuzalisha 10kva pia ni vizuri nikifahamu kitumizi chake cha mafuta linaweza kutumia petrol ama...
Mkuu hii unaweza kutengenezewa...hawa jamaa wanajihusisha na kuprint mifuko karibia ya aina zote mchele, chumvi, mikate na mifuko ya kuwekea nguo za dukani...nafikiri pia hata hiyo mifuko itakuwa inatengenezwa...Hawa ni ADVENT COMMODITIES wapo Chang'ombe eneo la viwanda..pia wapo JAMANA printers...
Yap, nilifanikiwa mkuu. Bahati mbaya mrejesho sikurudisha...kama unauhitaji na hivyo vitu nitajie aina tu mkuu nakuelekeza vinakopatikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umbali unaotakiwa kuacha kama hifadhi ya njia/ nguzo za umeme (RIGHT OF WAY) hutofautiana kutokana na ukubwa wa umeme unaopita sehemu husika:
Fuatilia maelezo mafupi yafuatayo;
1: 11KV ..........5Metres ROW
2: 33KV...........10Metres ROW
3: 66KV...........20Metres ROW
4...
Shukran wakuu #Mkwaruu#nsereko m#perfectz# kwa kuguswa na hili..nimepata kitu na pakuanzia pia...ngoja nifuatilie kwa kina maeneo ambayo mmenitajia..nitakuja na mrejesho hapa Inshaallah.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.