Mimi najua CHADEMA ni chama makin sana kinachojua nini kinafanya ukilinganisha na vyama vingine tanzania, hivyo bas kunahaja ya kuangalia namna ya kuweza kuwapata wanachama wema na wenye mapenzime na chama kuliko inavyotokea kwa shibuda. Nimalizie kwa kusema hivi "success requires no explanation"
Kimsingi tangu dr migiro amepata ukubwa huo ktk ngaz ya kimataifa ni msadagan ambao amewasaidia waafrika ma tanzania! Wa2 wa jimbon kwa mdee wamefufaika ktk mambo mbalimbali ambayo mh mdee ameyapigia kelele bungen, migiro hamna ki2 kabisa.
Nashindwa kuelewa kwann 2nasahaulika kias hicho, lakn serikali iliyopo madarakan wajue hiyo ni indictor, wasifikir wa2 wa kibondo-kasulu-kigoma hawaelewe kinacho endelea, dawa yao ipo jikon.
Nashindwa kuelewa kwann 2nasahaulika kias hicho, lakn serikali iliyopo madarakan wajue hiyo ni indictor, wasifikir wa2 wa kibondo-kasulu-kigoma hawaelewe kinacho endelea, dawa yao ipo jikon.
Mpango wa kitaifa dhidi rushwa na mpango wa utekelezaji (NASAPII) ni kwa kiwango gan umewafikia watanzania? Naomba mada hii wahusike watu wanaofatilia mambo na kuyaelewa. Thenks in advance
Helo, huu ni ujasiri kwa huyu kijana kionesha hisia zake hazarani wapo wenye kadi za chama tawala lkn hawafatiliwi hebu wamwache huyu kijana aseme nn kilimsukuma kufanya hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.