Recent content by Click Hapa

  1. Click Hapa

    Watu 17 Wamejeruhiwa Baada ya boti ya MV Julius Kuzama Katika Ziwa Victoria

    Meli hii ya MV Julius hufanya safari zake kati ya Mwanza na Kisiwa cha Goziba kilichopo wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Meli hiyo siku ya jana mchana hadi jioni imepakia mzigo wa magunia ya dagaa kwakuwa kwa sasa dagaa ni wengi kisiwani Goziba. Kwa kifupi ni kwamba walii-over load magunia ya...
  2. Click Hapa

    Biashara gani ya nafaka ina soko zuri kipindi hiki?

    Hoja yake nzuri tu! Kuna utofauti wa mahitaji kutoka sehemu A kwenda sehemu B.
  3. Click Hapa

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mkuu, The good investment ever is to invest in yourself. Anza na hilo kwanza ili uondoe huo uoga ulionao, ili baadaye uwe MJASIRIAMALI. Mjasiriamali hana uoga kama huo ulonao, vinginevyo utaajiriwa milele. NOTE: Yeyote ambaye hakuwahi kuanguka maana yake hakuna siku aliyojaribu kusimama ili...
  4. Click Hapa

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mkuu, Kiwango chochote cha fedha unachokuwa nacho na unataka kufanya biashara fulani kinatosha kuwa mtaji, kinachotakiwa ni strategy tu. Swali lako lina majibu mengi.
  5. Click Hapa

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mkuu, Kabla sijatoa ushauri wangu kwako kwanza nianze kwa kukupongeza kwa WAZO ulilolipata. Lakini pia kwa maswali ulioainisha hapo juu, kwa mtu aliyemakini tayari una majibu kwa maswali yote maana umesema tayari una jamaa zako wa karibu wanaofanya biashara hiyo na tayari wameonyesha nia ya...
  6. Click Hapa

    Nauza miti na shamba lake

    Tupia picha mkuu, itapendeza zaidi.
  7. Click Hapa

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Yes upo sawa, tatizo ni for how long mifuko ya plastic itaendelea kuzalishwa hapa nchi. Serikali wana encourage eco friendly products hasa hii mifuko.
  8. Click Hapa

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Ni mpango mzuri mkuu ila juzi Bunge limepitusha sheria ya kuzuia kabisa uingizaji ama uzalishaji wa plastic products kama mifuko sasa sijajua itakuwaje kwa wenye viwanda hivi ambavyo tayari ni operational.
  9. Click Hapa

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Hii kiwanda inahusika na nini? Funguka.
  10. Click Hapa

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Wabongo waliowengi ni wavivu mkuu, wanapenda vya mteremko so inapotokea issue yoyote yenye kuonyesha kuleta hela kirahisi Mbongo anakurupuka tu bila hata kutafakari vema. Yawezekana watu wamekurupukia hizo bond wakidhani ni 13% per month, subiria watakapoanza kushangaa. Unawezaje kuwekeza 10mil...
  11. Click Hapa

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Mkuu, Wabongo huwa tunakurupuka bila detailed research na mwishowe tunaangukia puwa. Sasa huyu jamaa anakomaa hapa na anamuaminisha mleta mada eti amekuwa akifanya na anapiga hela kiulaini tu. Miye kani-bore zaidi pale alipotoa comment ya kupuuza wenye miradi ya Kuku. Lakini mleta mada atakuwa...
  12. Click Hapa

    Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Mkuu, kwa style hii tutatoka kweli!!? Ili tutoke lazima kwanza tuondokane na hizi fikra. Hivi unapomshauri mtu kununua hizo bond ambazo unakuja kupata gawiwo after six months hata kama ni accumulative, hiyo miezi sita unapokuwa unasubiria gawiwo unakuwa unafanya nini? Haya ulotoa ni mawazo ya...
  13. Click Hapa

    Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

    Jackline unatuchanganya sasa, mwanzoni umesema Wazungu hawatumii hiyo kitu na ukadai hata Azam na kutoka South Africa wanapeleka kwa kiwango kidogo sana, sasa hivi unasema Sembe imejaa supermarkets, so which is which maana kama Sembe ni nyingi kwenye hizo supermarkets unazosema maana yake...
  14. Click Hapa

    Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

    Funguka Kamanda, kama una details ndo tunazihitaji hapa. Kwani sisi hatuwezi kukomaa kuzifukuzia hizo fursa huko UK!!? Tiririka hapa mkuu.
  15. Click Hapa

    Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

    Lakini mleta mada kasema kuna kaka yake huko ndo aliyemwambia kuwa demand ni kubwa mahali alipo.
Back
Top Bottom