Tupia picha mkuu, itapendeza zaidi.Habari wanajamii,
Nauza miti heka 5 pamoja na shamba aridhi iko njombe bei 15,000,000 miti ina mwika 6 ni mikubwa na mizuri kwa mawasiliano 0755238761.pia nina mashamba mengine mengi tu ya miti iliyo tayari kwa kupasua mbao.