Recent content by cli

  1. cli

    Naombeni kufahamu biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

    Jamani naomba kupata uelewa zaidi kuhusu na biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kuanzia utaratibu mzima,na hatua zote hadi kuupata mzigo ambao pengine natarajia kuufanyia biashara, Zaidi kutoka nchi kama China na nchi zengine za Asia
  2. cli

    AI inazidi kuwa bora. Hizi ni baadhi ya nyimbo za kiswahili zilizotengenezwa kwa AI

    Ni hatari sana AI japo pia tujiandae kwa matokeo hasi
  3. cli

    Unadhani ni kwanini watanzania wanaona wako salama zaidi kuongozwa na CCM chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu?

    Upande wangu naona pengine watanzania wengi wamekwisha lizika na kuishi katika mazoea na chama tawala kwa muda mrefu kiasi kwamba wanafikiri ni salama zaidi chini ya uongozi huo wa chama tawala na hilo linapelekea kukosa kwa utayari katika kuruhusu mabadiliko zaidi
  4. cli

    Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

    Kweli kabisa asee,low profile apo nmekupata
  5. cli

    Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Bongo ni nchi inayo ongoza kwa uchawa na kujipendekeza na hapo ndo shida inapoanzia
  6. cli

    SoC04 Tulinde mazingira ili kuweka chachu ya maendeleo

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa yamekua yakiongezeka kwa kasi siku baada ya siku. Ikiwa yote hayo yanahitaji mazingira pamoja na rasilimali zilizopo katika mazingira husika, uhusiano mkubwa uliopo baina ya maendeleo kwa ujumla na mazingira ni mkubwa sana kiasi kwamba ni lazima tuweze...
  7. cli

    Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

    Tofauti ya umbali kati ya jua na dunia ,pia umbo la mduara la dunia lakini sababu zote mbili zinakua na maana kutokana na mzunguko wa dunia kulizunguka jua
Back
Top Bottom