No
Marytina I hv a friend of mine alielekezwa hvyo hvyo bt after that moment hakurudi tena kwa mumewe... Sasa naogopa utawafanya wengi wawakimbie waume zao maana cjui hcho ktu kna nn ukijarb huachi alaf ukute sasa hao mafundi wenyewe utajuta kwa nn wanaume wapo dunia maana hutaona tena kazi...
Bado hujanielewa kwa hyo unavyomwelekeza aende huko una tofaut gani na anaesupport upuuzi wa jinsia moja? mm nngetegemea kwa uzoefu ulionao umwelekeze jnsi ya kujiandaa kisaikolojia na sio kwenda kuandaliwa na hao!! Mm nlifikir ni TOTAL BAN lkn kumbe bado unafanya consultation.. Duuh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.