Recent content by Clever Gk

  1. Clever Gk

    UDOM waachia majina ya undergraduate student batch 1

    Tumia WPS Office inafungua bila mbwembwe.
  2. Clever Gk

    Mafunzo na huduma muhimu za computer

    Namba ya usajili NACTE please.
  3. Clever Gk

    Naombeni sana msaada wenu wakuu kwa huyu ndugu yangu.

    Education SAUT tawi la mbeya na chuga vina nafas pia kuna tumain na iringa university.
  4. Clever Gk

    Sijaelewa hapa TCU wana maana gani?

    Na mm naomba kujuzwa jins ya ku log in kwa mtu aliyemalizia four na six nje ya nchi najarib inaweka mgomo mwenye kujua please
  5. Clever Gk

    Nimechanganywa na taarifa hizi Za HESLB na TCU

    Source of information please.
  6. Clever Gk

    JKT kwa mujibu wa sheria kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 sasa ni rasmi mwezi Juni

    Nipo kwenye hicho kikosi ila vipi kuhusu hili naskia kuna barua za kukutambulisha unaporeport kambini barua inatoka shuleni kwako lina ukweli wowote hili jambo???
  7. Clever Gk

    JKT kwa mujibu wa sheria kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 sasa ni rasmi mwezi Juni

    WaTz hatukosagi cha kusema kambi nyingine ni za kicaptain au!!!?
  8. Clever Gk

    JKT wasimamie mitihani ya taifa (NECTA)

    Ni vyema kukomesha hili swala lakini kuna sababu 1000,000 kwamba haiwezekani.
  9. Clever Gk

    Ordinary Diploma for Primary Education

    Hapo kwenye division 3 sio lazima credit ziwe tano ni three yoyote ile hadi ya 25 unaenda ualimu.
  10. Clever Gk

    Ninapokuwa na mwenza wangu kitandani, mawazo na hisia huwa zinapotea, nifanyeje?

    Bad enough hakuna dawa ya kutibu tatizo lako la hofu si miti shamba wala ya kizungu.
  11. Clever Gk

    Ninapokuwa na mwenza wangu kitandani, mawazo na hisia huwa zinapotea, nifanyeje?

    Unameza kidonge kimoja saa moja kabla ya tendo ikigoma hiyo usisite kuamini uchawi upo.
  12. Clever Gk

    Ninapokuwa na mwenza wangu kitandani, mawazo na hisia huwa zinapotea, nifanyeje?

    Namaanisha hiyo Erecto uliyoelekezwa hapo nyuma.
  13. Clever Gk

    Ninapokuwa na mwenza wangu kitandani, mawazo na hisia huwa zinapotea, nifanyeje?

    I suggest the method, mimi ni mmoja wa waliokuwa wahanga wa hili tatizo ila kama huna tatizo lolote la kiafya ukitumia hii dawa lazima u do hata kama una hofu tani 100 unachotakiwa ni ku insert tu kunako upenyo.
Back
Top Bottom