Sijaelewa hapa TCU wana maana gani?

Sijaelewa hapa TCU wana maana gani?

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
743
uploadfromtaptalk1473747838019.png
 
Atiiii INVISIBLE umeyasikia haya??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna kirchhoff
acount hii sikumbuki password na hiyo nyingine iko kwa computer n ndio naikumbuk password...
 
Na mm naomba kujuzwa jins ya ku log in kwa mtu aliyemalizia four na six nje ya nchi najarib inaweka mgomo mwenye kujua please
 
Kwa wale wa kuapply second round ,TCU wanatakiwa kufanya nini? kama umekosa round ya kwanza, je kuna haja ya kulipia tena hela au system ikoje ndugu zangu
 
Haulipi tena chek watatoa list ya programee na capacity iliobakia katika kila programme
 
Kwa wale wa kuapply second round ,TCU wanatakiwa kufanya nini? kama umekosa round ya kwanza, je kuna haja ya kulipia tena hela au system ikoje ndugu zangu
Tembelea Website yetu tumeweka mwongozo.
 
Back
Top Bottom