Naombeni sana msaada wenu wakuu kwa huyu ndugu yangu.

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,723
3,166
Habar wakuu,naomba mnisaidie vyuo na courses zilizobaki katika hii second round natak ndugu yangu aaplly sabu 1st round amekosa amesoma HKL na ana division II ya 11.msaada please wakuu aapply course gan na chuo gan chenye nafasi??
 
jamani kuna yeyote alefanikiwa kuingia cas mda huu? kwang inagoma kabisa kufunguka CAS TCU.So nashindwa kujua tatizo nin? naambiwa tcu is not available.
 
HATA MM IMEGKMA KABISA ILA HII INATOKANA NA WATU WENGI KWA PAMOJA KUVAMIA MTANDAO JARIBU JARIBU MARA KWA MARA ITAKUBALI TUU
 
Education SAUT tawi la mbeya na chuga vina nafas pia kuna tumain na iringa university.
aseee jamaa,mkuu alipata kuchaguliwa SAUT Arusha education.but anataka kufanya postponent ya masomo kwasababu anaumwa ase ndugu yangu huyo...sasa natafta namna ya kumsaidia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom