Recent content by Cleophas cosmas

  1. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

    Je ni miaka mingapi ukifikisha unajua hapo ndyo Kikomo Cha urefu wako katika kukuwa kwako?
  2. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Hivi mstaafu Kikwete huwa haambiwi na kupewa taarifa kuwa watu wanamsema vibaya na kumchukia?

    Aliyeandika haya bila shaka ni akina No reform no election ila niwakumbushe jambo moja tu hakuna Rais aliyewahi kutukanwa na kikundi kile kama mh kikwete wakati akiwa madarakani,magufuli alipokataa uhuni wao walimwiita kikwete Baba yetu Kikwete.na kumuomba awaombee mazingira ya ahuweni kwa jiwe.
  3. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Chama tawala Malawi tunaogopa Njia hii wananchi wakiijua inaweza kuwafunua kupata mbinu ya kuzuia uchaguzi kirahisi

    Ndugu mtoa post kauli kama hizi uwe makini nazo unaingia kwenye kamera za watu siku ukiingia kwenye mfumo wa wasiojulikana uwe na kumbukumbu Mimi ni mzee wa makamo ila naogopa kauli mfano wa hizi pia pengine utakuwa kundi la wakukodi. Oct tuna✓
  4. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hamas Siyo Magaidi ila Wale waliopora Ardhi yao. Unayemuona Gaidi Wewe kwa Wenzako ni Mpigania Uhuru mfano Mandela!

    Lisu angeelewa kitu kimoja kuwa hawezi kuwa Rais wa Tz kamwe asingekuwa anajipa umuhimu sana,miaka mitano mbele Chadema itakuwa R.i.p totally.
  5. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

    Mwamba si ulipenda mtu na maua yake.
  6. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Tumewasamehe Polepole na Gwajima

    Ccm ikitema uchafu ndugu zangu wanaokota. polepole aliongoza mbinu chafu ya kufunga mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka 6 leo hii Chadema wanamuona Polepole wa maana kwao. Gwajima alishindwa kiuongozi kwa kila namna akiwa mbunge wa kawe leo hii Gwajima ameonekan wa maana Kwa chadema.huu ni...
  7. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Kabla ya Siku 10 alizosema Askofu Gwajima kutimia atakuwa kashakamatwa

    Huyu mwamba akamatwe tu anatuletea taharuki na pia anatishia serikali Kwa kuipa amri
  8. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Lissu asipojifunza sasa basi hawezi jifunza tena

    Leo tarehe 16 Aug 2025 bado siku 73 ufanyike uchaguzi na ukweli mchungu Ccm itashinda na huo ndyo mwisho wa No reform no election Lisu atakuja na misamiati yake ya hatutambui serikali na pia yaweza kuwa mwisho wa Chadema kwenye ulingo wa siasa za Tz.
  9. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    Huna lolote unajisahaulisha ya kwako uliyoshirikiana na mzee wa makengeza kugawana mabilioni ya umeme wa Tegeta sasa kutwa ni kuropoka tu.
  10. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

    Chadema hasa wafuasi wako hawapendi kuambiwa ukweli ila miaka mitano mbele chadema itakuwa sehemu ya story tu kwamba iliwahii iliwahi hivyo yaani hata Cuf ilikuwepo Kwa mfano huo huo leo hii ndyo ile
  11. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

    Leo chama kinatapata wawakirishi wa ubunge na udiwani siku zinakwenda mbele huku nyuma polepole anapiga kelele tu Urais ni mfumo huwezi kuhuchumu mfumo wa Rais unataja jina linalowakirisha mfumo wakati huo hilo jina linalindwa na huo mfumo kama ni Urais tuongelee 2030 siyo 2025. Kwa 2025 nafasi...
  12. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Kura za maoni zikishapigwa majina ya washindi hatarudishwa Taifani CCM kuamua yupi apitishwe kama Mgombea Rasm wa Ubunge

    Hilo siyo jambo geni hata enzi ya jiwe makonda alimpiga mbunge wa kigamboni marehemu Ndungulile ila kamati kuu ilirudisha jina la mshindi wa pili
  13. Cleophas cosmas

    JamiiForums Tanzania Kamfukuza beki 3 kisa mumewe anamla, akajichanganya akaliwa na mtoto wake

    Vijana wanatupanga na movie Kali hatari
Back
Top Bottom