mapovu mengi but pontless hivi manabenefit nini mkiwa mnatamkia hii nchi vibaya kisa tuu uchama...yaani kwasabu wee chama cha upinzani basi kila kitu unapinga...mkuu umepotea.
kwani yeye alikuwepo kwenye uzinduzi wa flyover ubungo?...pili chama chake hakimtambui rais magufuli kama rais wanamtambua kama dictator ..tatu msemaji mkuu wa chama amesema wahisani waache kuisaidia tanzania ...huyoo ndio anayekwamisha maandeleo....kwa hiyoo aanze kwanza kuongea vizuri na chama...
upuuzi mtupu tundu hanaga kazi ya kufanya uraiani zaidi ya kutumia lugha mbaya kukosea serikali alijua alichokuwa anakitafuta...mwacheni apumzike sero...bunge lilikuwa lefu kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.