Recent content by cleaner wrasse

  1. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Hujui Sheria zako za jeshi au PGO 🤣🤣🤣🤣. Itabaki kwenye historia kuwa mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama hajui chochote
  2. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    Kichocho
  3. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wakuu wa vyombo vya ulinzi kuikatalia mahakama kuhusu kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Tena na mtu Hana cheo chochote 🤣 🤣 🤣 tuna wakuu wa vyombo vichekesho
  4. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania kwa hiyo jezi ya taifa stars tununue au tusinunue? kulingana na maneno haya ya waziri

    Yani Karne hii unanunua kitu chenye bendera ya Tanzania 🤮🤮🤮🤮
  5. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Wazee mnaonaje Katuga anavyogongwa na NGULI kwenye vijiswali vyake?

    Hilo bichwa kubwa
  6. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Amekuwa kama mbawala aliyemulikwa na taa za gari gizani

    Hivi unamfukuzaje mtu chama mtu aliyesema ameshaachana na siasa na CCM 🤣 🤣 🤣 🤣
  7. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Jifunzeni toka CCM how to take quick actions. Lembrose Mchome, Said Issa Mohamed na Freeman Mbowe wanasubiri nini ndani ya chama?

    Ujue nyie mmesahau kuna mjinga mmoja anaitwa mtungi na vyombo vya ulinzi . CCM wanaweza fanya hayo kwasasa kwasababu wanajua mahakama, polisi na mtungi ni wao . Wengine wakikurupuka ndio unafungiwa miaka 10. Kama gwajima alifungiwa kanisa Bila sababu yeyote kisa kusema utekaji
  8. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya Watanzania wengi waishi kwa matumaini makubwa sana kuhusu nchi yao ?

    CCM itaanguka wala sio Zaidi ya miaka 25 ijayo
  9. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Je kitaalamu na kisayansi MOYO hauna hata chembe za fahamu na hisia?

    All internal organs don't have pain receptors . The nerves are at the membrane
  10. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania John Heche: Nchi hii wananachi wanachukuliwa kama watumwa na watawala kama watwana au wamiliki wa watumwa

    acha kujaza server kwenye utawala wa sheria si ndio maana kuna mahakama polisi sio kazi yake kutafsiri sheria na kujichukulia sheria mkononi.
  11. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania HOJA Deni la Daraja la Kigamboni (Mwalimu Nyerere) litaisha lini?

    wanafanya repair kwanini hatuoni daraja lingine likijengwa kwa faida ya hii draja kuna lile daraja la kuunganisha tanga na bagamoyo mpaka leo tupo kwenye upembuzi yakinifu
  12. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu mwanasayansi yeyote aliyetokea chuo kikuu cha UDSM

    Watu wote wanapigwa PhD za stem science ni scientist ila bongo hamna lab za maana wala sio serikali au makampuni yanainvest kwenye research. Yani Sisi Ni Kudra za mwenyezi mungu
  13. cleaner wrasse

    JamiiForums Tanzania Fungu lako la Kumi unapeleka wapi?

    Fungu lote langu
Back
Top Bottom