Recent content by Clas Ohlson

  1. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali aiweke wazi

    Huyu ni mwanafunzi wa mtwango secondary alimaliza mwaka 1997 na baadae songea boys 1998 - 2000, Baada ya hapo alikuwa mtangazaji wa redio Tanzania kituo cha songea after form six kabla hajaenda Tsj. Ni chawa promax wa mama na ccm.
  2. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Nimeichukia sana Dar

    Bora wa msamala mwenzangu umemjibu vizuri. Mwambie sisi tumishi huko lakini bado tunaamini kuishi msamala na kufurahia maisha kunyumba tunaona bora zaidi kuliko hekaheka hizo za Dar. Kwa ruhusa yako darling mwambie atutembelee nyumbani ajioneee
  3. Clas Ohlson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuabudiwa

    I second you 🙏 Mimi sipo tayari kuendeshwa na hawa viumbe! Hataki kusimama upande wangu kama ninavyohitaji basi atembeee Sina muda wa kubembeleza hawa viumbe aiseee It is better to live alone kuliko kuwa mtumwa kwa kiumbe mwanamke kisa tu ni mzuri, au ana kazi nzuri na elimu nzuri au...
  4. Clas Ohlson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Furaha yangu kubwa ni kuona watu wanaoana

    Mimi nitafutie binti mzuri mwenye muonekano mzuri na mwenye elimu bora awe employee wa government. Umri wake uwe kati ya miaka 25 hadi 33 lakini asiwe na mtoto, sitaki shida za singo maza mimi maana naujua moyo wangu, sitoweza kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu na kisha mimegewe kisela. Nipo...
  5. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    Huyo elimu yake ni ya kuunga unga hivyo anadhani na mtoto kuwa na akili inabidi awe anaunga unga kama yeye alivyofanya
  6. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    Sasa tuambie kwanini unadhani watoto wengine wanakuwa wazito kuelewa na wengine wepesi kuelewa? Tuanzie hapo na ukijibu hilo swali vizuri ndio nitajua kiwango cha uelewa wako kuwa ni wale wenye elimu ya tia maji tia maji / elimu ya hapa na pale au upo smart vertically
  7. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    Kinachofanya mtoto awe na uwezo mzuri darasani ni two factors: 1. Hereditary factor - biological factor Kwenye hiyo factor baba ukiwa na elimu ya kuunga unga na mam elimu ya kuokoteza okoteza basi hata ikitokea baba ukabahatisha kupata fedha za kutosha na uwezo mkubwa wa kiuchumi usije tegemea...
  8. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni ajira (kazi) za watoto wa maskini

    Usiwadanganye watu bana kwa kujifanya Daktari analipwa fedha nyingi, HUO NI UWONGO ULIOTUKUKA. 1. Mwaka jana kabla mishahara haijaongezwa kiduchu Dr. Wa binadamu ambaye ni MD alikuwa analipwa basic salary ya Tsh. 1,480,000/= hapo bado hajakatwa bima, income tax, Psssf, n.k 2. Ukizungumzia hao...
  9. Clas Ohlson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for an ideal woman for marriage: long-term partner

    We ukuje tu tutayajenga vizuri ikiwa kemia zetu zitaendana vema
  10. Clas Ohlson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for an ideal woman for marriage: long-term partner

    Ukuje bana acha mambo yako! Ukuje chumbani mke wangu mtarajiwa
  11. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

    Na wewe ni mmoja wa wasiojielewa nchi hii. Nchi hii ili iweze kusonga mbele inahitaji kufurusha mafisadi wote na kuondoa viongozi wala rushwa na wanaojilimbikizia mali. The best way to do ni kama vile wakenya wamefanya na sio kuwa na spirit ya uoga kama wewe.
  12. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe ushauri wa sehemu gani nzuri na affordable ya kuweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi

    Natanguliza shukrani zangu za dhati kwao , maana watakuwa wamenisaidia sana
Back
Top Bottom