Recent content by Clark cian

  1. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

    Happy birthday dada
  2. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

    Jitose tuuh umletee wapige kazi na dogo janja
  3. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

    Ehee shukrani Sana boss Kwa ushauri wako tumtag apa anaweza akatenda Jambo hana baya tajiri.......
  4. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

    Shukrani Kwa ushauri boss
  5. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

    Habarini za sasa hivi wakubwa. Nina mdogo wangu ambaye amekidhi vigezo vya kufanya kazi kama Hydraulic Excavator Operator na amepata mafunzo katika IHET, Dar es Salaam. Ana ndoto kubwa na shauku ya kujenga taaluma yake katika sekta ya heavy equipment, hasa kwenye uendeshaji wa hydraulic...
  6. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    wazinzi sasa wamekuja 😂😂😂
  7. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

    Hahah........this ain't fair sister
  8. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

    Naomba uje tujaribu kwanza nijue ni vitu gani hivyo sitavipenda
  9. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Ukiwaona watu wakieneza chuki na matusi mtandaoni, huwa unachukua hatua gani?

    Nasikikizia kama kuna fursa hapo
  10. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Mapenzi suala linaloninyima usingizi

    🔥🔥🔥
  11. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Mapenzi suala linaloninyima usingizi

    Nahisi sababu gland zao za machozi nazionaga zilivyokaribu na uso 😭
  12. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Mapenzi suala linaloninyima usingizi

    Kati ya kitu ninachojikubali ni misimamo niliyonayo lakini sio ya mapenzi 🙃🫠
  13. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Mapenzi suala linaloninyima usingizi

    Nitaziuaje braza 😭 Kwa upendo au
  14. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Mapenzi suala linaloninyima usingizi

    Shukrani Sana kabla sijalala nitahakikisha vilio vinatawala
  15. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Mapenzi suala linaloninyima usingizi

    Imekaa kipapaa Sana hii 🔥🔥
Back
Top Bottom