Recent content by Claritha

  1. C

    Nimelitoa kanisani

    Anaenda lakn si mara nyingi kama anayekunywa bia. Istoshe soda ina gas so mtu hawez kunywa nyingi kwa wakat mmoja.
  2. C

    Nimelitoa kanisani

    Inawezekana, sababu mtu anayekunywa bia anaenda toilet mara kwa mara.
  3. C

    Kama?!.....

    Sio WANAWAKE amesema mwanamke. Ni kwel kabisa mkuu.
  4. C

    Nisaidien Jamani!!!

    Cha msingi kuwa na msimamo. Mweleze mchumba wako.
  5. C

    Makalio ya kichina!

    Ee bwana eeh! Hii kiboko!
  6. C

    Mtoto sio wake

    Mshauri huyo ndugu yako asichukue uamuzi wa haraka kumtelekeza mtoto. Huyo mama wa mtoto ameshaonekana mapepe. Pengne pombe tu zinamuongelesha. Akapime DNA kwisha kazi.
  7. C

    Mbunge wetu wa zamani Muleba ametutoka!

    Pole kwa wafiwa
Back
Top Bottom