Recent content by clarence mitega jr

  1. clarence mitega jr

    Nissan patrol(black panther)

    Sinza kijiweni sio mkuu??
  2. clarence mitega jr

    Nissan patrol(black panther)

    Mmh! Kwani zimeanza kugawawia bure huko kwenu??
  3. clarence mitega jr

    Nissan patrol(black panther)

    Aiseee,, Nikajua ni chuma mpya ya sasa uliyonayo,, that's y nikajua unakuja kushare experience nasi wenye baskeli Ova
  4. clarence mitega jr

    Nissan patrol(black panther)

    Ndio,, tupe mambo ya subaru sasa
  5. clarence mitega jr

    Natamani kuoa mwakahuu

    Is a gud thing Sent using Jamii Forums mobile app
  6. clarence mitega jr

    Natamani kuoa mwakahuu

    Shukran mkuu, hii safari nzur sana, lakn wengi watakukatisha tamaa, wewe ishi maisha yako,, life is too short. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. clarence mitega jr

    Natamani kuoa mwakahuu

    Kila laher, tupo pamoja kaka, Sent using Jamii Forums mobile app
  8. clarence mitega jr

    Natafuta nafasi ya kazi, nina degree ya Business Administration

    Nami nimemuuliza mkuu, tusubir ufafanuzi hapa
  9. clarence mitega jr

    Natafuta nafasi ya kazi, nina degree ya Business Administration

    Bro! Naomba nijifunze hapa kitu. Benki wanaweza kukopesha fedha kwa kuweka bondi vyeti??
  10. clarence mitega jr

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Kabisa aseee, yani hapo kazi tunayo,,, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. clarence mitega jr

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    lakn wakat naanza kufundisha, nilisema sitoshika bakora heheh humo darasan ni vurugu kama wote watoto,, siku nyngn nikaingia na bakora bas kukawa shwari kuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. clarence mitega jr

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Naaam.. Sometimes kweli kabisa,, jamaaa anastress zake, anakuja kumalizia kwa watoto Sent using Jamii Forums mobile app
  13. clarence mitega jr

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Duh,, kazi kwelikweli Sent using Jamii Forums mobile app
  14. clarence mitega jr

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    No, inshu sio kupiga,, jamaa anasema hakuna mwalimu kutembea na kiboko shuleni,,,, sasa kiboko kinatumika kama pointer tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom