Recent content by Clajago

  1. Clajago

    Satellite: Kwa nini isibaki angani?

    Hii inanikumbusha enzi zile za Mir Space Station
  2. Clajago

    Mafundi wazuri wa external hard disk jijini Dar es Salaam

    Pia mcheck huyu jamaa alishawahi kunisaidia sana nikiwa chuo - 0766507080 cku hizi yupo msasani karibu na CCBRT
  3. Clajago

    Inahitajika Cresta au Mark II GX 100 Ya Kununuliwa kwa Tsh 4.0Mil

    Inahitajika gari hiyo kwa Tsh 4.0 Mil Engine : Any with CC ~ 2000 Colour : Any Transmission : Automatic Kilometers : Any but not exceed 200,000
  4. Clajago

    Msaada: Run DLL error msg

    Kwa issue za DLL na Startup huwa natumia kitu inaitwa Hijackthis haijawahi kunianguasha.
  5. Clajago

    Naomba msaada pc yangu imezingua'''

    X-Factor kwa maelezo yako haya "cjawahi kuformat disk c,,, bt huwa nafuta windows old baada ya kubadilisha OS, ntajaribu kucheck restore disk image kwenye website yao,, Inamaanisha ya kuwa unafanya installation ya Windows kisha uweki drivers za accelerated graphics drivers.Fanya hivyo uone jibu.
  6. Clajago

    Nawezaje kurudisha outlook data

    Poa mkuu! Mie nadhani nishasemaga mara nyingi humu kwa JF jamani msiingilie kazi za watu wengine haya sasa ushajua FORMAT-> NEXT-> NEXT -> NEXT ->INSTALL -> NEXT -> NEXT -> FINISH basi mtu anajiona kashakuwa mwana IT.Sasa mbona kwenye kuformat hukuomba msaada? Pole sana mkuu.Tafuta Pegasus Data...
  7. Clajago

    Mohamed Trans laua Polisi watano!

    R.I.P Bro n Sisters - To Ma Homies That We Lost PC Deogratius Mahinyila(Brai Mnyausi) Ayoub & Amina tupo pa1 only the good die young. Long Live IFM Daima for DEO. I
  8. Clajago

    Wanawake wa kiafrika wa siku hizi wavivu sana (Ma lazy)

    Well kiaina flani nawatetea wanawake wa cku hizi ya kuwa wachakalikaji wanasaka mshiko na kuokoa jahazi inapobidi ila basi wasipitilize wala kusahau majukumu ya nyumani maana imekuwa taabu sana nowdays kwa kuwa NDOA UREMBO MAJUKUMU YA NYUMBANI HOUSE GIRL.
  9. Clajago

    Wahi desktop cpu 2.8 ghz 90000/=

    Pia ipo hii HP Compaq 6200 pro microtower mpya kwa laki 4 Na Nusu https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/577947-very-powerfull-hp-compaq-6200-pro-microtower-mpya-for-sale-450-000-a.html
  10. Clajago

    Msaada: External harddisk haidetect

    Mkuu kabla haujafanya waliyokuambia wapendwa sana humu dimbani mie na mtizamo kidogo tofauti ila mbeleni utaingiliana na huu wa nyuma tafadhali. 1. Tafuta enclosure nyingine fungua hiyo ya samsung(Bomoa Case) kisha toa hiyo hard Drive yako. 2.Chukua hard drive yako ya samsung iiingize kwenye...
  11. Clajago

    Nifanyaje ili chumba changu kisiwe na NETWORK KABISA......

    Well, kwa haraka haraka ningekuwa mimi ningejenga hivi hiyo room, 1. Ukuta wote usukwe kwa nondo(mesh) 16mm bila kuacha nafasi ina maana nodo na nondo zinaungwa na welding na ningetumia lead blocks au plates. 2.Jenga undergroung hiyo room na ikimalizika zungushia winding ambazo baadae...
  12. Clajago

    Samsung focus flash inauzwa

    Wauza hauuzi?
  13. Clajago

    Cheap MacBook

    Wauza? Yallah!
  14. Clajago

    Samsung focus flash inauzwa

    Wauza ww?
  15. Clajago

    Hivi Hawa Waume Za Watu Wake Zao Vipi Jamani????

    Nadhani Lala unahitaji kukua vzr ili uayone haya katika jicho la 3D,Unadhani baba kuchelewa kurudi hme mama anachukia? Unajua ya kuwa wake sometime wanaku-support utoke hme uende kula bata na wadau maana shughuli nzito muamala unasoma kila mara c unajua hadi kuoa umependa haswa?? Sasa mara moja...
Back
Top Bottom