Recent content by ckihwelo

  1. C

    Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

    Naomba kujua selection za certificate & diploma UDOM zitatoka lini?
  2. C

    PPF ni majanga.

    kama inawezekana wangeruhusu mwajiriwa kuweza kuhama mfuko,kuliko ilivyo sasa ukijiunga umejifunga, ila ppf ni janga.
  3. C

    Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    naomba uniangalizie innocent claud, msaada mkuu.
  4. C

    hivi nawa fulani za malaria zaweza sababisha miscariage.

    jamani naombeni msaada kwa wanao jua. Hv kuna baadhi ya dawa za makaria zaweza sabaisha miscariage, na kama zipo naomba mniweke wazi, alafu naomba suggestation ya dawa zinazofaa.
  5. C

    Mimba imeingia...mwanamke ni mgonjwa mgonjwa..tutaitowaje? Msaada jamani

    pole sana kaka yangu, Akiwa kwenye care nzuri ya daktari kama wengine wanavyo shauri sio tatizo kubwa, hata dada yangu kajifungua mapema mtoto wa kwanza kwa operation, iliyofuata kajifungua pasipo operation, labda kama atakuwa na matatizo mengineyo. Mungu yupo na atawasaidia.
  6. C

    Internet ya bure kwa watumiaji wa Airtel

    me niameanza kutumia, kama j5 hv, line yangu in shilingi 4, ila nadownload video kwenye youtube fresh kama mbili au tatu kwa siku, ila inanza saa 5 usiku, proved.
Back
Top Bottom