Recent content by cjilo

 1. cjilo

  Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

  Watu bhana,ndege si ya masafa marefu kwa hiyo lazima kila baada ya umbali flani na kifanyiwa inspections husika. Muwe mnauliza kabla ya kuandika ujinga wenu
 2. cjilo

  Swali Gumu : Washambuliaji wa Lissu wanafahamika, nani wa kuwakamata?

  Sijawahi ona mtu kujikamata mwenyewe
 3. cjilo

  Wote tumesema kuhusu Tundu Lissu lakini kwa huu wimbo wa Aslay katuzidi!

  Asley ushawahi pimwa mkojo wako, utangulie kabisa zimbo
 4. cjilo

  Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

  R.i.p Mawazo,bado tunamlilia Ben Saanane, tundu Lisu tunamuombea
 5. cjilo

  AJALI: Mabasi ya Mwendo Kasi yagongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa Morogoro road

  Nashukuru kwa taarifa Sent using Jamii Forums mobile app
 6. cjilo

  AJALI: Mabasi ya Mwendo Kasi yagongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa Morogoro road

  Wanajamvi nipo hapa Korogwe kwa zaidi ya nusu saa hakuna gari inayoenda wala kutoka Kimara, watu ni wengi kiasi hata kusogeza mguu huwezi. ------Updates----- tramadol said, Kuna ajali mbaya ya mabasi ya mwendo kasi maeneo ya Shekilango baada ya basi moja kuligonga basi lingine kwa nyuma...
 7. cjilo

  Majina na misemo kwenye daladala za Bongo

  À Sent using Jamii Forums mobile app
 8. cjilo

  Bilioni 220 zatumika kukimbiza Mwenge mwaka huu 2016

  Mwenge uendelee kwan unamulika mafisadi na mabashite wote
 9. cjilo

  Mnyika: Kama Magufuli anaheshimu uhuru wa maoni, Fulgence Mapunda na wahanga wengine waachiwe

  Mnyika angetuambia ni kwa nini Cotide hapati dhamana leo, kwa nn hapelekwi mahakamani ili tuanze kuwapigia kelele wamuachie
 10. cjilo

  Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

  Safi sana Makonda tumekuelewa, serikali ina fedha nyingi sana inatafuta matumizi tuu
 11. cjilo

  Biashara zasimama Kariakoo

  Watu wamezuiwa wasifungue maduka leo, usipende kupotosha
 12. cjilo

  Faida ya unyenyekevu katika ndoa na mahusiano kabla ya ndoa

  Kwa hakika umeongoa vitu vizuri kwa afya ya mahusiano
 13. cjilo

  Bodi ya mikopo (HESLB) wafungiwa milango na waajiri

  Wadaiwa sugu!!! Hatulipi....!!
Top Bottom