Recent content by CJ100

  1. C

    Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    hii nchi tatizo watu waliopo maofisini walitakiwa wawe vijiweni na waliopo vijiweni ilibidi wawe maofsini
  2. C

    Maisha Haya

    mwanaume kupambana sio kukaa kama demu ndani acha ushamba mkuu
  3. C

    Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

    na nyie kaibeni ili wananchi wenu waache kuteseka. kwahyo unafurah kuona watu wanavyoteseka mitaani ?
  4. C

    Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

    Tanzania viongozi wengi wapo kwa maslahi binafsi yan hii nchi watu walio juu kiuchumi huwa wanafurah sana kuona kuna wengine wanahangaika mitaani. na hata waliofanikiwa wakikuona ww ambaye bado huna kitu wanakuwa na dharau sana na furaha kubwa.
  5. C

    Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

    hii nchi baada ya miaka kama 10 watu wengi watakuwa vichaa kutokana na ugumu wa maisha. nipo nimekaa pale
  6. C

    Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

    kwani ngoja niulize kitu wamasai kwao ni wapi ? Sent from my vivo Y55A using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom