Recent content by Civilian Person

  1. C

    JamiiForums Tanzania Pump ya mafuta

    Hii sababu ya mafuta machache inaweza kuwa sababu kubwa zaidi au kuna nyingine kubwa zaidi labda ?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Pump ya mafuta

    Wakuu kwann hizi pump huwa zinakufa sn ?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Gypsum designs

    Msaada wa gypsum designs mbali mbali but ziwe simple
  4. C

    JamiiForums Tanzania Unbeaten imevunjwa

    Vijana wa mikoani sio watu wazuri kabisa hahaaa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Unbeaten imevunjwa

    Kuna jamaa wanaongea chenga sana huku, eti wametolewa Bikra uzeeni hahahaaa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini haiwezekani mtu kujitoa DStv Business baada ya kujiunga?

    Ni mambo ya ajabu sana mkuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini haiwezekani mtu kujitoa DStv Business baada ya kujiunga?

    Ni huduma kubadili decoder iwe kwa matumizi ya bar au pub kuonesha mpira tu na channels nyingine chache lkn ina gharama kubwa sn kuanzia TSH 80,000 huko
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini haiwezekani mtu kujitoa DStv Business baada ya kujiunga?

    Wadau hivi hawa DSTV wana watu wabunifu na competent kwenye biashara ya visimbuzi kweli? Yaani kwanini uweze kujiunga na huduma ya DSTV BUSINESS halafu ukitaka kujitoa ishindikane yani kwamba ni lazima uendelee na hiyo huduma mpaka ukamilifu wa dahari. Aisee it's a very weak gap kibiashara...
Back
Top Bottom