Point of correction bruh, in African countries famine is not caused by shortage of supplies but inasababishwa na siasa mbaya, ufisadi na utumiaji mbaya wa mamlaka. Kama tunavyoona sahizi Uhuru na Magufuli wanapo ongea maneno yao hawafkiri watu wamapato ya chini na athari zake.
😄 😄 😄 Naongeza msistizo never argue with a fool, mpakani wakulima wapo wanaoweza leta bidhaa zao sokoni.si lazima nchi nzima ilime ndio watuuzie,think 🤔
Si eti tumenyamaza, if you argue with a fool chances of becoming a fool is high. Think before you leap. It work both ways, bila biashara mimi ntakosa bidha wewe utakosa hela thats it. Khabari ya kufunga mipanga hiyo is beyond our control kiufupi ni siasa. Na kuhusu masoko mimi binafsi niko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.