Recent content by Civil Eng

  1. C

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Mkuu hata sijapata, wajuba wengi wenye nyumba wanaokaa miezi 6. Dah nami nitajenga zangu kulipia ni mwezi mmoja mmoja kwa kila anayetaka
  2. C

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Mkuu huyu manzi anasema yupo Arusha na hata hafanyi hizi mambo. Check vizuri namba
  3. C

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Check vizuri namba, nimempigia kasema hajui lolote kuhusu nyumba
  4. C

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Wakuu kwema? Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Primary English medium school

    Asante sana mkuu, ila huko mbali sana asee
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Primary English medium school

    Sorry wakuu, hapo kwenye Peanut please isomeke Pwani. JF kulikoni sioni kitufe cha kuedit??
  7. C

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah, kwangu leo Lingard naomba achukue MOTM, dogo kakaza mno leo. Dogo mpambanaji si kitoto. Tumgonge sita huyu kama alivyofanya Man city.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua Ofisi za Bodi ya korosho Dar, msaada

    Asanteni wakuu.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua Ofisi za Bodi ya korosho Dar, msaada

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kilivyoeleza. Natafuta location ya ofisi za bodi ya korosho Dar, au kama kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano na yeyote anayefanyia bodi ya korosho hata aliyeko Mtwara head office. Natanguliza shukrani.
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! Glory Be To God!

    Nipo na plate yangu hapa.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Civil engineer

    Asante mkuu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Civil engineer

    Asante mkuu, nakurushia sasa hivi.
Back
Top Bottom