Habari za zenu!
Napenda leo kushea makala hii ndogo niliyoiandaa inayozungumzia masuala ya ulipaji wa kodi katika shughuli za kilimo. Na nimeona niilete makala hii hususani katika jukwaa letu pendwa la kilimo, ufugaji na uvuvi kwani kuna baadhi yetu tunaamini hatustahiki kulipa kodi kutokana na...
Kama ile ya kule HQ ndo maana umewekewa tangazo kabisa baada ya muda wa kazi usiitumie! Otherwise ukipanda baada ya muda wa kazi itakuwa at your own risk!
Kwanza ungeliweka swali lako vema ueleweke wewe unafanya biashara katika muundo wa kampuni au mtu binafsi? Kama mtu binafsi mauzo yako ni sawa au zaidi ya mil 20?
Ukiachana na hayo, katika kuandaa hesabu za mizania kodi utaipata kutoka katika sehemu mojawapo ya mahesabu ya mizania, ie hesabu za...
Inategemea na makubaliano baina ya kampuni yako na mkaguzi husika. Na huu ndiyo mfumo zuri zaidi wa kufanya kazi kama part time. Muda pia ni mambo yanayojadilika kutokana na nature ya biashara
Reach New Heights
1. Kuanzisha kampuni kwa mtaji mdogo
Kwa mujibu wa sheria za usajili wa kampuni 2002, mtaji unaanzia sh 20,000 tu. Hivyo hiyo mil 2 ni kubwa kwani hata kiusajili ipo daraja la pili kati ya mil 1 hadi mil 4.99. Hivyo huo sio mtaji mdogo
2. Je ufanye nini kwa biashara hiyo?
Nakushauri biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.