Pole mama, long distance ni shida, nlikua huko, ilichukua muda kutoka coz unajipa moyo mtu atabadilika kila ukiongea nae, ana admit then anarudi kule kule, ongea nae na ujue exactly nini anataka na pia umueleze unajisikiaje kutokupata hata salamu yake kwa siku nzima, majibu yake yanaweza...