Recent content by Chutonmwanga

  1. Chutonmwanga

    Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Had kufikia hapo kwa maono yang huyo mwanamke hana upendo na ww na Ana mtu ambae alikuw anahutaji uhuru wa kuwa nae. Lakin ww piah ushapoteza upendo na huna imani nae hata kidogo so ucjaribu force. Chamsingi sas kabl hamjafika Tena mbali inabd ww kuwa mkweli na muwaz kukubar kuweka na...
  2. Chutonmwanga

    Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Bigg up mkuu umeshush nond za kutosh
  3. Chutonmwanga

    Ushari wazo la biashara Mtaji laki 5 nipo Mwanza

    Asante san kiongozi ngoj niweke kweny ufatiliaji
  4. Chutonmwanga

    Ushari wazo la biashara Mtaji laki 5 nipo Mwanza

    Wakuu habarin mm ni kijan naomben wazo la biashara ambalo Mtaji hauzid laki 5 nipo Mwanza
  5. Chutonmwanga

    Biashara ambayo hautokaa upate hasara

    Maarifa na Mtaji ni vitu ambavyo vinategemeana kweny suala zima la utafutaji. Kwan mtaji(pesa) ndo unakup nini ukitafutie maarifa kwani kipo ndani au nje ya uwez wako. Coz dunia ya sasa hivi maarifa yanauzwa je una pesa ya kuyamudu hayo maarifa unayoyahitaji??? Na hat ukiyapat una uwezo au...
  6. Chutonmwanga

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mm usngiz haup kabsa!!
  7. Chutonmwanga

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    sas hiv ni kufunik yale yot yalitokea kipnd Cha nyuma kufng na kukaza kamb kujiandaaa ten na mwak unaokuj
  8. Chutonmwanga

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Historia yako sio hatma yako iwe mvua iwe jua unaweza ukawa mtu yoyote wakati wowote [emoji120]
Back
Top Bottom