Recent content by chuse tbr

  1. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na watu au mtu ambae ulimpenda sana kiasi ya kwamba haiwezi kupita siku, week au mwezi bila kumuwaza au kumuota?

    Mie ni Baba yangu haijawahi kupita siku sijamkumbuka, alivyokuwa Hai nilikuwa nachukulia poa sana daaah siku alivyoondoka kwanza ilikuwa kama ndoto, maumivu yalikuwa makali sana na pengo lake daima haijawahi kuzibika mwaka wa sita huu lakini kila siku ni kama jana, Allah ampe pepo na amsamehe...
  2. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

    Sasa hapo wakulaumiwa ni TRA au kampuni ya simu? ni sidhani ulichoandika kama ni kweli maana sioni mtandao wowote ukichaji hivyo. Benki ya Tanznia mwezi uliopita tu imeweka ukomo wa chaji kwenye miamala ambapo kiwango cha chaji mwisho ni 5,000. Na kwa 20,000 kiwango cha chaji ni 1,000 hivyo kama...
  3. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nakusanya Majina na viwango vyote vya fedha vya watu walioichangia CCM, nitayafikisha majina yao kwenye mamlaka zinazohusika na financial crimes

    Ndugu yangu usije stress za bure pambania maisha yako, hakuna dunia inayoendeshwa na masikini. Elon Musk alitumia dola ngapi kwenye uchaguzi uliopita wa Marekani na akapata nini?kaangalie biggest funders wa Republican na Democrats uone waametoa dola ngapi na jinsi gani wananufaika na michango...
  4. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu alilelewa Umamani kwake ambao ni wakristu baadae ndo akaja kwa Baba yake akiwa amkubwa tayari, Baba yake alikuwa Tutuo amefariki mwaka jana au mwaka huu kama sikosei.
  5. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    K Kumuunga sio shida, shida ni kwenda kuthibisha mahakamani utamuunga sawa ila mwisho wa siku atatoka tu bila ushahidi thabiti
  6. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    Ni kosa ila tatizo kuthibisha hilo kosa mahakamani ndo kimbembe labda kama unataka tu kumsumbua mtu kwenda na kurudi mahakamani mwisho wa siku mahakama itamuachia huru tu
  7. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    Hili ndo nilikuwa nasema watu wanataka watu wapandishwe kizimbani kwa mihemko tu hawajui mahakamani ni ushahidi usio shaka ndo unasimama, kwa hiii kesi kumkuta na hatia huyu mama ni kazi sana maana inabidi ueleze kinaga ubaga chain yake na hao watu na uthibitishe kuwa yeye aliwatuma jambo ambalo...
  8. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Rais Samia karuhusu upandaji wa LUKU mwisho wa mwezi, kipindi wakiwa na Magufuli waliahidi kushusha bei ya umeme, Imekuwaje?

    Kodi ya ardhi inalipwa Ardhi, hii ni kodi ya pango au property tax hiyo inalipwa TRA japo mwanzo ilikuwa inaenda halimashauri Magu akabadili sheria ikapelekwa TRA
  9. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Nguruvi3 Soma taratibu umesoma ukiwa na maoni yako na itikadi yako mpaka unapoteza uwezo wako mkubwa wa ujengaji wa hoja. Paskali amesema kuhusu upekee wa muungano wetu kuwa wenyewe ni Union cum federation ndo uadimu wake huo. Amesema Tanganyka ilikuwepo ila ikawa replaced na Tanzania Bara ila...
  10. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    DART wanamiliki njia na miundombinu yake kama vituo na ofisi UDART wanamiliki magari na wafanyakazi wake, kimsingi DART anamkodisha UDART njia.
  11. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Kaka Paskali kwa heshima na taadhima swala Mwembe chai halihusiani na Mwinyi lilitokea 1998 kipindi cha Mkapa, watu wameumizwa pale kwa dhulma si sawa kusema hivi kwa kebehi.
  12. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

    Leo umeyatimba umeyakanyaga umewasema Malaika kazi unayo, kiukweli kwa uwezo wako wakuandika na kuchambua huwa nashangaa sana wewe kuwa na tumaini na CHADEMA. Tena saa hii wamechagua Populism instead of proper party investing on policies ndo kabisa hawafai. Angalia tu aina ya watu iliyo wajenga...
  13. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Wajerumani walirudishe fuvu la Liti mkoani Singida

    Mafuvu wanayomengi tu na yapo mawili ya wachagga DNA imekuwa positive wanayarudisha walikuwa wasaidizi wa Mangi Meli.
  14. chuse tbr

    JamiiForums Tanzania Face 2 Face with Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo: "Tunafanya Politics of Engagement kwa kuwa Pragmatic on What is Possible"

    Zanzibar unaijua Mzee au unazungumza tu unadhani Zanzbar tofauti kazileta Seif, Maalim kapokea tu kijiti soma historia tofauti ya Zanzibar ni zaidi ya Maalim Pemba hata kama kiongozi atakuwa nani misimamo yao haibadiliki kwa miaka michache hivyo hivyo Unguja tofauti zao ni za zaidi ya kisiasa...
Back
Top Bottom